Nyie wanawake jitunzeni acheni uvivu

Red black

JF-Expert Member
Nov 29, 2019
2,398
5,818
Jf a place were we dare to talk open.

Wakuu niaje I hope mko gud kabsa.

Leo ni wakumbushe wanawake ambao wakishaolewa na kuzaa wanajisahau hawajitunzi tena kama before kabla hawajaolewa.

Hamjizingatii kwanzia usafi wala uvaaji.

Mnajisahau sana mnabweteka hakuna manjonjo tena mnakuwa wa hovyo.

Na I'm sure men wengi tunachepuka kutokana na nyie wake zetu kuwa wa hovyo.

Badilikeni!
 
Nunulieni wake zenu nguo. Pia wakianza kuchakaa muwakumbushe. Unaruhusu vipi mke wako awe na muonekano mbaya wewe umetulia tu.
Mume akiwa mchafu analaumiwa mke. Na mke akiwa mchafu tatizo ni la mume pia. Mke akitunzwa vizuri hawezi kujiweka hovyo hata siku moja, ni waachache tu ambao uchafu ni nature yao.
Tunzeni wake zenu ipasavyo.
Povu ruksa!
 
Sawa nimekuelewa
 
Back
Top Bottom