Poleni wote na Mungu azidi kuwatia nguvu wale wote mliopoteza ndugu na jamaa Hakika Mungu akawafariji kipindi hiki kigumu
Mimi nae mapenzi yataniua na stress Kila napogusa hola 🥹
Nina penzi...
Heri ya X-mass in advance
Ebhana kuishi na mke ambaye hajali mazingira ya usafi wa nyumba ni kero mno. Mwanzo nakutana nae hali hii haikujionesha ila sasa tulipofunga ndoa na kujenga basi hali...
Jamiinimetushape kwamba ndoa ni kitu cha lazima sana vinginevyo hamna urafiki,mapenzi au mahusiano ya namna yoyote kati ya me na ke
Na hii ndo inasababisha ndoa nyingi kuwa za hovyo kuliko...
Miaka hio tukiwa kwenye 20s hii pisi haikuwa type ya kawaida, kuitongoza unywe maji koo liyakauka na huambulii kitu, kichwani smart anajijua ni mashine yenye hadhi ya watu wa aina flani, n.k...
Habari za leo wana jamvi, tafadhali msaidie rafiki hapa, kama bandiko lake linavyoeleza...
Nimeolewa miaka mitatu iliopita na mume wangu ni dereva wa bolt. Tatizo kubwa alilo nalo ni hajitumi...
MREJESHO
Habari ndugu ZANGU...NADHANI...nilileta Uzi ulisema. MKE WANGU KAACHA NDOA YAKE KISA KAZI..
..
...
Leo nawaletea MREJESHO...
Baada ya Mwanamke kuondoka kusikojulikana,,huko alipokuwa...
Natumai mumeamka salama wakuu!
Wazee juzi Jumapili nipo kwenye pub moja hivi napiga bia na nyama choma kiasi kwaajili ya kumalizia wikiendi yangu vizuri sikutaka kutoka na mwanamke siku hiyo ili...
Jamani jamani jamani kuna watu ni wafukunyuzi hasa, na kimsingi huwa wanatuchora vilivyo na kwa sehemu kubwa wakiangalia baadhi ya viungo mwili vinavyoonekana na kulinganisha na visivyoonekana...
Hali inazidi kuwa mbaya kwa vijana wetu hasa hawa wa kiume wanahamasishana kila kona na kampeni yao yenye hashtag #KATAA NDOA
Sababu wanazotoa zinachekesha mno na kwakweli hazina mashiko.. Kubwa...
Kwa mimi nahisi ukiwa na mwanamke mwenye maono itakusaidia kutojisahau kwamba utajikuta kila ukitaka kurudi nyuma mke anakupush kimawazo, changamoto nk huku ukiwazia familia hiyo yote itakufanya...
Mwanaume unayependa kuchepuka na wake wa watu n dhaifu.Kwan umeshindwa kutafuta mke wako ndo ukanyemelee vya watu.
Utahudumia familia isiyo yako na mwishowe hawatakutambua.familia itakayo...
Nilicho gundua ndoa nyingi zime kufa mda mrefu sana ila watu wana pretand kama bado wapo pamoja
Hii baada ya kuambiwa mwenyekiti wa jumia yetu na mkewe wamegawana vyumba lakn kwa watu wanaonesha...
Kama unazaidi ya miaka 35 na bado unapambana na wanawake wanaotaka pesa ya kucha, kope, nywele, nguo, chakula, gesi, vocha, kodi ya pango, na bando; juwa hauko siriazi na maisha, badilika haraka...
Siku hizi, kuna mjadala mzito kwa vijana: "Kaa nyumbani mpaka ujiweke vizuri kifedha au ondoka mapema ili upambane na maisha?"
Wazazi wetu walikuwa wanaheshimu sana mfumo wa mtoto akae nyumbani...
Kusema kuwa sijijui kuwa natengeneza bomu ambalo litakuja kunilipua mwenyewe nitakuwa nadanganya ila maksudi kabisa natengeneza na ipo siku kweli litanilipukia, stori iko hivi
Mimi ni mwanaume...
Kadada kametunzwa na kujitunza, kamevutia macho na ukaona anafaa kuwa wa ndani, ukirejea kwenye mihangaiko upate pumziko na mfanye maisha.
Ukaoa.
Sasa baada ya kukaweka ndani, unategemea...
Nimeona jambo hili kwa baadhi ya wanawake, hasa wale waliotoka kwenye ndoa Zenye changamoto.
Mwanamke anapokuwa kwenye ndoa yenye changamoto labda ameumizwa, amepuuzwa, amenyanyaswa au hakupata...