Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Sijakataa kuwa mwanamke ameumbiwa nyodo. Kwa utaratibu wetu wa bara la Africa, hata kama mwanamke amekuja gheto kwa nauli yake, ni lazima aoneshe ugumu katika kukupea tendo la ndoa, ile kukataa...
1 Reactions
10 Replies
909 Views
Kheri ya Eid pili wakuu na jumapili njema wenzangu na mimi, moja kwa moja kwenye mada wakuu mimi nilikuwa kwenye mahusiano na mdada mmoja almost ana miaka 21 na mahusiano yetu yaliendelea vizuri...
12 Reactions
102 Replies
5K Views
Habari . Ndugu wana Jf katika tafakari zangu za siku ya weekend nimegundua wanawake ndiyo sababu kubwa sana ya wanaume kuonekana hatuna nguvu za kiume. Wewkend yangu ilienda kwa jasho sana...
2 Reactions
13 Replies
1K Views
Ikiwa mnaishi pamoja ni rahisi kuzoeana. Mazoea kwenye mahusiano yanauwa mapenzi. Mnajikuta kama kaka na dada. Au mbaya zaidi mwanamke wako anakuacha kwa kusema umebadilika. Kupeana nafasi kwenye...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Wanawake mnaitwa huku kusikiliza ujumbe wa mwanamke Mwenzenu. Huyu ni boss ana vijisenti ila Sasa unakutana na kamwanamke choka mbaya mdomo Sasa ndio shida tupu. Kitendo Cha wanawake kukigeuza...
4 Reactions
4 Replies
848 Views
Naandika hili nikiwa na hasira sana Msaada mwenye kujua spray yeyote au sawa inayoweza chafua hali ya hewa kwa muda mfupi na kusababisha pasikalike Au dawa ambayo ukichoma itaharibu hali ya...
6 Reactions
47 Replies
2K Views
Juzi nipo zangu home, nipo juu nikasikia huko Ground Floor kuna mtu anagonga mlango nikashuka ngazi fasta maana kuna ugeni nilikua nautegemea (kwa sisi masikini hatuna uwezo wa kuweka lift, ni...
25 Reactions
135 Replies
16K Views
Habari za humu poleni na majukumu Kabla sijaoa nilibahatika kuwa na mahusiano tofauti na mabinti wa kigoma kwa nyakati tofauti Wa kwanza nilikutana naye dar gongo la mboto alikuwa mtu wa kigoma...
7 Reactions
18 Replies
2K Views
Hivi karibuni, nilipata mualiko kwa kamchepuko kangu, ambaye anadai ana ujauzito wangu. Ikabidi niwe mzalendo na kuamua kufunga safari mpaka mkoa aliopo. Baada ya kufika, nikatafuta eneo la...
8 Reactions
34 Replies
3K Views
Naaomba kuuliza wadau katika kutafakari sababu za familia ya mke wangu kuniunganisha katika group la familia yao sikuona mantiki na hivi leo nimeaamua kuondoka. Je, nitakuwa nimekosea?
30 Reactions
214 Replies
21K Views
"Mimi nina mpenzi yaani ni kama mke tofauti ni hatujafunga tu ndoa rasmi na tuna mtoto mmoja. Huyu binti sijui hata niseme ana wivu, sijui ni matatizo gani. Nilimpa uhuru wote wa kushika na...
1 Reactions
32 Replies
5K Views
Asalam aleykum. Ndugu zangu hakika mke mwema ni starehe moja bora kabisa duniani hata ukiwa huna hela ila mke mwema ni kama tulizo la nafsi. Image una maisha magumu, pesa unaipata kwa shida ila...
26 Reactions
199 Replies
7K Views
Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Asikudanganye mtu yeyote yule, pesa haina nguvu yeyote kwenye mapenzi. Pesa hainunui mapenzi, haijawahi kununua mapenzi. Pesa inaweza kununua ngono lakini kamwe...
24 Reactions
66 Replies
6K Views
Katika kuongelea suala zima la mapenzi ni vigumu kujua maana halisi ya mapenzi kwa maana halisi ya mapenzi ni kutokana na mtu mwenyewe anavyoona. Lakini kwa ujumla mapenzi ni ile hali ambayo watu...
4 Reactions
16 Replies
5K Views
Nawasalimu kwa jina Jf. Na watu wote tuseme Jf idumu milele Wazazi, ndugu, jamaa na marafiki wa kila rika pamoja na vyombo vyote vya kiimani tofauti tofauti kwa majina yao na imani zao wamekua...
12 Reactions
63 Replies
4K Views
Ndugu zangu nataka niwatoe wasiwasi kuwa kujamiana sio jambo baya na msiogope kujamiana nawaomba mzingatie yafuatayo: Usijamiane na mme au mke wa mtu Usijamiane na watoto Usimlazimishe mtu...
18 Reactions
67 Replies
4K Views
Ndoa sio mchezo mmoja lazima ajifanye mpumbavu.Mimi niliwahi kuoa ndoa ilidumu miaka miwili tukafanya divorce.HAkuna ndoa isiyo na changamoto ndani ya nyumba kuna mashauri kibao kesi kama zote...
4 Reactions
23 Replies
1K Views
Wadau mimi nmekuja Tabora mwezi sasa. Nimekuja kikazi shughuli zetu. So siku zote hizi nalipwa Per diem kama kawaida. Nikawa mara kadhaa napata burdan sehemu mbalimbali mpaka mwenyeji wangu...
57 Reactions
227 Replies
30K Views
Kiukweli mke wa mtu ni sumu na za mwizi ni arobaini hichi ndicho kitu ambacho kimenitokea jana maeneo ya maeneo ya Kimara gest x yaaani sio poa kabisa nusura na mimi pia niwe wa upande wa pili...
38 Reactions
155 Replies
11K Views
#UsipooaUtaolewa Acheni kufundisha watu uhuni, kwamba kama nyie binafsi mmeamua kuwa wasela sasa dunia nzima iwe hivyo, aaargh. Kuna raha ya ndoa nyie waseja, hakuna mambo yatakayokuwa perfect...
6 Reactions
20 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…