Usipooa utaolewa

Usipooa utaolewa

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
11,197
Reaction score
35,907
#UsipooaUtaolewa

Acheni kufundisha watu uhuni, kwamba kama nyie binafsi mmeamua kuwa wasela sasa dunia nzima iwe hivyo, aaargh.

Kuna raha ya ndoa nyie waseja, hakuna mambo yatakayokuwa perfect hata kama ukiwa single vile vile katika ndoa kuna ma bonde na milima lakini isiwe sababu ya kukimbia kuoa.

Sasa unakataa kuoa alafu kutwa nzima unatongoza wake za wanaume wenzako mwishowe wanakukamata wanakufanya mke wao.

My point is, kama umeamua kutooa milele usije na vi-hashtags vyako kuhimiza watu na kukatisha watu tamaa kuhusu ndoa, kaa single kivyako kama ndio raha yako, acha watu wafanye wanavyotaka.

#UsipooaUtaolewa
 
IMG-20230923-WA0002.jpg
 
[emoji2788][emoji2788] dronedrake
 
Saingine tunawapamba tu kufurahisha genge, sawa na mapadr ndoa hawaruhusiwi Ila wanato*** kisiri Siri, mwenzao gara b anajenga kwa kazi ya mc wao kataa ndoa Ila na tajiri oa, Cha ajabu, Basi kutaka kwao slope.
 
Hawajielewi
 
Alafu aibu kweli kizazi Cha leo, Cha kutaka slope au mijike mikubwa ambayo yapo njema Kama kina zali na kibenteni vile mpaka kaitwa FALA.
Hshshahaja

For sure

Kweli kabisa mkuu
 
#UsipooaUtaolewa

Acheni kufundisha watu uhuni, kwamba kama nyie binafsi mmeamua kuwa wasela sasa dunia nzima iwe hivyo, aaargh.

Kuna raha ya ndoa nyie waseja, hakuna mambo yatakayokuwa perfect hata kama ukiwa single vile vile katika ndoa kuna ma bonde na milima lakini isiwe sababu ya kukimbia kuoa.

Sasa unakataa kuoa alafu kutwa nzima unatongoza wake za wanaume wenzako mwishowe wanakukamata wanakufanya mke wao.

My point is, kama umeamua kutooa milele usije na vi-hashtags vyako kuhimiza watu na kukatisha watu tamaa kuhusu ndoa, kaa single kivyako kama ndio raha yako, acha watu wafanye wanavyotaka.

#UsipooaUtaolewa
32a80fa4caf787a985d90e0da599dcdc.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nacho hitaji ni nyama, saaa Kwanini ninunue n'gombe mzima wakati nyama buchani zimejaa?
Sasa si kila mtu anataka anunue nyama buchani wengine wanataka ngombe mzima, akate taratibu na aweke kwenye friji na awauzie wengine.

Kwa hio tusitengeneze taswira kuwa wanaonunua mzima wanapotea njia eti kisa amenunua ngombe mzima kwa bei kubwa.
 
#UsipooaUtaolewa

Acheni kufundisha watu uhuni, kwamba kama nyie binafsi mmeamua kuwa wasela sasa dunia nzima iwe hivyo, aaargh.

Kuna raha ya ndoa nyie waseja, hakuna mambo yatakayokuwa perfect hata kama ukiwa single vile vile katika ndoa kuna ma bonde na milima lakini isiwe sababu ya kukimbia kuoa.

Sasa unakataa kuoa alafu kutwa nzima unatongoza wake za wanaume wenzako mwishowe wanakukamata wanakufanya mke wao.

My point is, kama umeamua kutooa milele usije na vi-hashtags vyako kuhimiza watu na kukatisha watu tamaa kuhusu ndoa, kaa single kivyako kama ndio raha yako, acha watu wafanye wanavyotaka.

#UsipooaUtaolewa
asa hao mliowaoa wanatuambiaga wameolewa lkn sio kiviiilee,kwann tusiwatongoze ati!!!
 
Back
Top Bottom