Loading failed
JF-Expert Member
- Sep 14, 2023
- 1,946
- 5,855
Nawasalimu kwa jina Jf.
Na watu wote tuseme Jf idumu milele
Wazazi, ndugu, jamaa na marafiki wa kila rika pamoja na vyombo vyote vya kiimani tofauti tofauti kwa majina yao na imani zao wamekua wakitulazimisha sisi mabachelor kuoa huku wakitusihi kuoa ni jambo la heri na baraka.
Wanatuambia ukioa unasave garama za maisha, unakua unauwezo wakujiwekeza vizuri, kujenga uchumi imara na familia imara. Pia wengine wamedai ukioa unakuwa umekomaa kiakili na unaheshimika sana na jamii inayokuzungukana, wamekua wanatusukuma sana tuoe huku wakitujaza maneno matamu matamu kuwa ndoa ni baraka na ni njema hasa ukiwa uzeeni na pale ambapo hujiwezi.
Swali;
1: Ni kwanini wanatulazimisha tuoe na wakati utelezi tofauti tofauti tunapata kutoka kwenye nyapu nzuri nzuri za kumeremeta bila hata shida wala ratiba, tena huko tunadekezwa sana sisi mabachelor ni kwanini basi mnatushinikiza kuoa?
2: Ni kwanini mnatulazimisha kuoa ilihali sisi mabachelor tunaona mnavyo sota kwenye ndoa zenu huko kwa kunyimwa utelezi na kufanyiana makitu ya hapa na pale mabaya mabaya?
3: Ni kwanini mnatulazimisha kuoa na wakati hao mnaotaka tuwaoe teyari wanatupa utelezi kirahisi sana, tena wengine wanaishi vyuoni miaka na miaka maisha ya unyumba huku wakigawa utelezi kwa mababy boy wao wa chuo?
4: Kama tunaweza kupewa utelezi na kila pisi pamoja na kuzaliwa watoto kwanini basi mnatulazimisha na kuingilia uhuru wetu? Kwanini mnatusumbua sisi mabachelor na kutusisitiza kuoa na wakati mambo huku nje ni mteremko?
5: Kwanini mnatulazimisha kuoa na wakati nyie wenyewe mnachepuka huku nje na tunashare mademu ili hali mnawake zenu?
Ndugu wana JF, Jf idumu milele na milele hawa jamaa hawatutakii mema bali wanataka tuuze uhuru wetu wakuu.
Njoeni hapa tusaidiane mawazo, ujasiri huu wa kutusukuma tuoe na utelezi unapatikana kirahisi katika kizazi hiki cha nyoka wanautoa wapi?
Naomba kuwasilisha.