Nimejikuta tu nipo na muuza nguo za ndani kitandani

Applicant

JF-Expert Member
Feb 12, 2020
1,962
1,746
Juzi nipo zangu home, nipo juu nikasikia huko Ground Floor kuna mtu anagonga mlango nikashuka ngazi fasta maana kuna ugeni nilikua nautegemea (kwa sisi masikini hatuna uwezo wa kuweka lift, ni mwendo wa ngazi tuu)

Kwenda kufungua mlango ni binti mdogomdogo anauza nguo za mitumba sana sana nguo za ndani za wanawake, nikamkaribisha ndani nikamwambia azimwage mezani nataka nimchagulie wifi yake pair 5 hivi.

Wakati kazimwaga pale mezani tunachagua kuna nguo ya ndani moja niliipenda lakini nikahisi kama ndogo kwa ninayemnunulia, akaniuliza "kwani unaemnunulia ni mnene sana?! " Nikamjibu hapana, ana umbo kama lako tuu, nikamtania aijaribishe nione ikikutosha nayeye itamtosha.

Nilifanya kama utani, lakini yeye akafanya kweli akaniambia nimuonyeshe chumba aingie abadilishe, nikamuonyesha.

Unajua sikuamini, nikaona nikachungulie kama kweli anabadilisha, duuh! Kiukweli sikuamini mtoto wa kike anavua yake anavaa ile, sikuelewa kilichotokea baada ya lisaa limoja nilijikuta nipo nae kitandani tunaongea.
 
duh..Umekafanyia SEA asee..Umetumia shida zake kukadhulumu kingono,afu mwezi mtukufu.....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom