Nimetajiwa mahari milioni 7 ili kuoa kwenye hii familia

Mboka man

JF-Expert Member
Aug 22, 2020
478
1,638
Yaani hatari juu ya hatari familia sijui imenionanaje ambayo kuna binti nimemposa nimeletewa mkeka wa mahali milioni saba ikiwemo na vikorokoro vidogo vidogo katika hesabu iliyopigwa imegonga m7

Na nimepewa options naeza kulipa kwa awamu kidogo kidogo hivyo hivyo mpka inaishaa

Naombeni ushauliii
 
Owa mwislamu, mahari anapanga mchumba unayetaka kumuowa.

Waislamu kwenye ndoa na mazishi wapo vizuri kuliko maelezo.
 
Yaani hatari juu ya hatari familia sijui imenionanaje ambayo kuna binti nimemposa nimeletewa mkeka wa mahali milioni saba ikiwemo na vikorokoro vidogo vidogo katika hesabu iliyopigwa imegonga m7

Na nimepewa options naeza kulipa kwa awamu kidogo kidogo hivyo hivyo mpka inaishaa

Naombeni ushauliii
Ni gari unanunua ama ni mke unaowa?
 
Yaani hatari juu ya hatari familia sijui imenionanaje ambayo kuna binti nimemposa nimeletewa mkeka wa mahali milioni saba ikiwemo na vikorokoro vidogo vidogo katika hesabu iliyopigwa imegonga m7

Na nimepewa options naeza kulipa kwa awamu kidogo kidogo hivyo hivyo mpka inaishaa

Naombeni ushauliii
Yaani kwa mikoani kwa hiyo mahalo uliyotajiwa unaweza fungua mradi mkubwa na ukakulipa
Ila Kama kweli unampenda huyo bint lipa , Kama ndo unahela za kuungaunga jifikirie vizur mkuu
 
Yaani hatari juu ya hatari familia sijui imenionanaje ambayo kuna binti nimemposa nimeletewa mkeka wa mahali milioni saba ikiwemo na vikorokoro vidogo vidogo katika hesabu iliyopigwa imegonga m7

Na nimepewa options naeza kulipa kwa awamu kidogo kidogo hivyo hivyo mpka inaishaa

Naombeni ushauliii
Nenda na mshenga hapo atawashusha mpaka mil 3 then unalipa mil 2

Kwisha

Inawekwa kubwa ili kunogesha tu
 
Ni dheleu kulipa mahari yote. Ukishalipa mahari nusu umemaliza na hakuna atakaekuambia umalizie ilobaki.

Mimi ulikua mkeka wa laki nane nikatoa nne na sinaga mpango wa kumaliza ilobaki.

Sasa wewe iyo 7m hata nusu yake Bado kubwa labda utuwekee picha ya shemeji yetu tukushauli vizuri.
Hela yoyote ikishaitwa mahari inakuwa na value sawa bila kujali magnitude.

Back
Top Bottom