Aliyekuambia mimi nakutaka mchana nani....?

miles45

JF-Expert Member
Jan 4, 2019
3,468
8,288
Kama ilivyo kawaida kwenye moja na mbili nikiwa nimetulia sina hili wala lile.

Nika mcheki best yangu hadija. Huyu hadija ni mwanamke ambaye tuna fahamiana tu na hatuna chambe chembe za mapenzi kati yetu .

Hivyo baada ya Salam mbili tatu nikamuambia sijamuona siku nyingi nimemmic nikajibiwa hata mimi hivyo pia nikamuuliza upo wapi ...nikajibuwa yupo home kalala nikamwambia nataka kumuona.

Akasema tutaonana kesho ambayo ndio leo sasa . Nikamuuliza mchana au jioni nae akaniuliza alie kwambia mimi nakutaka mchana nani ....? Kama kawaida ladies and gentlemen..... wajanja na madomo zege leo jioni naenda kula tunda la mtoto hadija (sio jina halisi).

Na vile mtoto ni mweupe anakamwili potable kama nandy ila yeye anakitako mchomoko flan hivi ni noma Hapa namuandalia bao zangu mbili tu za nguvu. Mwenye demu wake atanisamehe.

NB
Round hii hakuna picha wala screenshots mtakula pumba kavu...yaani mtakula mihogo bila maji....hadi ujuaji uwaishe
 
Kwani mungu mwenyewe amrsemaje baada ya wewe ku post hii?
 
HIV/AIDS,Gonorrhea, syphilis, genital warts,herpatitis,HPV.Haya majeshi yote yako kazini.Hebu beba zana mkuu,zitakusaidia.Au Fanya uahirishe mechi maana sir God naye anakuona.Halafu huo mkwanja ambao ungelipia Lodge,usafiri,vocha,vinywaji,condom pombe na takataka zingine fanya uwapelekee watoto yatima,wanazihitaji zaidi kuliko huyo unayempelekea
 
Tatizo mnasemaga hivi halafu mkipata mawasiliano mnaanza kwenda nyie
 
Back
Top Bottom