Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Ndugu .. Watasema kama unataka utelezi hudumia ili kuhalalisha utapeli wao ila itabaki kuwa kweli wanamke walio laaniwa na kusukumiwa mikosi yote ya chuma ulete ndiye mwanamke pekee anayeweza...
13 Reactions
88 Replies
4K Views
Tumieni kinga acheni kuja kuleta masikitiko humu kuhusu mimba, wakati wa mzagamuano hukujua nini kinaweza tokea kwani? NB: DEMU UKIPEWA MIMBA NA UKAKIMBIWA KABLA YA NDOA USILALAMIKE.
5 Reactions
51 Replies
2K Views
Unajua mapenzi aliyaumba mungu kwa namna ya tofauti sana, kama ujawai kupendani na mtu uwezi kujua nini maana ya mapenzi. Ukipendana na mtu mioyo yenu inakuwa kitu kimoja kihisia yani unazama ...
8 Reactions
38 Replies
1K Views
TAWILEEE HUMU NDANI!!...Habari za muda huu wana JF, mim s mgeni Jf bt ni kijana mkongwe , na sijawahi kupost chochote zaid ya kukoment ktk majukwaa mbalimbali JF, hususan jukwaa la siasa, great...
16 Reactions
78 Replies
20K Views
Mimi sitaki ushauri, nataka tu uniambia kama kuna namna ambavyo ninaweza kufanya mimba ikatoka bila mhusika kujua. Mimi ni Baba wa watoto wawili, nina miaka 42, nimeoa na mke wangu yuko vizuri...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Habari zenu wana JF. Kama mjuavyo, nimeacha nyumba, mke wa mchongo na wanangu wawili huko Nanjilinji, nikaamua kuja Dar kusaka maisha. Hivyo nilifikia kwenye nyumba ya kupanga ambapo tu wapangaji...
4 Reactions
13 Replies
1K Views
Bado nipo kwenye Mkesha wa "Vuka na chako" Habari za nifa zimenishtua mno. Sikutegemea habari hii hasa kwa siku ya leo. Unajua nifa alikuwa anampenda sana Jasusi. Yeye ndiye aliyejivunia...
37 Reactions
322 Replies
19K Views
Anasema anataka hela aliyotafuta kwa mikono yake 😅
5 Reactions
52 Replies
2K Views
Habari wana Jf poleni na Majukumu ya kazi kwa pamoja na ugumu wa January hii naomba kuwasilisha hili suala langu kwenu. Niko na mpenzi wangu kwa kitambo sasa na Ameonyesha upendo wake kwangu kwa...
6 Reactions
37 Replies
2K Views
GREETINGS Nawasalimia kutoka huku vichakani, huku ndani ndani kwenye ofisi yangu iliyo kijijini sanaa kwa kuwaambia ""TABULELE Raaaaaaaa"" Twende kwenye hoja..... Hivi wewe kijana wa kiume...
13 Reactions
52 Replies
5K Views
Habari zenu wakuu, ukweri ndo huo. Mwanamke ata ajue mapenzi vipi au awe mtamu kitandani Kama sio fundi wa kupika jikoni, talaka itamuhusu aende kwao akajifunze kupika. Wanaume tunatafuta hela...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Kwa mke furaha yako ni mmeo, na mme furaha yako ni mkeo, basi muishi kwa furaha, amani, kushirikiana na kika siku kila mmoja awe na hamu na mwenzie, kila siku, kila mmoja abuni mbinu ya kumtia...
13 Reactions
58 Replies
2K Views
Suala la sex lina uzito sana ndani ya ndoa hasa kwa mwanaume ambae kaumbwa na matamanio makubwa kwenye ya libido / sex drive. Unapoona mwenzako uchumbani kwenye suala la mchezo ni mpaka ajivute...
7 Reactions
15 Replies
1K Views
Mchungaji Andras Pandey na mwanae Agnes Mchungaji Andras Pandey Mchungaji Andras Pandey akifikishwa mahakamani Mchungaji Andras Pandey Agnes Pandey Wakati mwingine yapo madai yanayoweza...
4 Reactions
33 Replies
5K Views
Wana jamii, Habari zenu natumai mko poa, hebu leo share na wana jamii ni vitabu gani uliwahi kuvisoma na vikakusaidia katika kuongeza uelewa na ufahamu katikati swala zima la mahusiano na...
2 Reactions
52 Replies
6K Views
Kitu ambacho nimekuwa nikijiuliza na napenda kufahamu. Je mahusiano yanaweza kustawi na kushamiri bila kuhusisha tendo la ndoa(kwa wale ambao awajafunga ndoa). Je mahusiano yataendelea kuwa mazuri...
3 Reactions
39 Replies
10K Views
Nilipokuwa ndo ninaanza kubalehe marehemu Babu aliwahi kuniambia “Ukitaka kuwa na Maisha mazuri na yenye furaha kama mwanaume basi usije kuoa! Mwanamke anakondesha Mjukuu! Mwanamke sio ndugu yako...
7 Reactions
17 Replies
1K Views
Habari wadau. Video inatrend ya kaka mwenye gari aina ya IST namba T 290 CBR Ambaye alisimamisha gari yake na kuanza kumkaba mkewe nusu kumuua huku akiongea maneno makali kwamba mkewe sio...
45 Reactions
565 Replies
49K Views
Vijana mnaofosi mapenzi kuna ujumbe wenu hapa, kiukweli kuna la kujifunza.
0 Reactions
12 Replies
794 Views
Habari ndugu zangu Wanawake mlioamua kuishi na mabinti room moja iwe vyuoni, mitaani au popote pale kwenye nyumba za starehe, acheni kabisa kutuharibia wake zetu wa baadae hizi strap on (mikanda...
26 Reactions
230 Replies
35K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…