Mume au Mke ndio furaha yako

fimboyaasali

JF-Expert Member
Jan 14, 2011
8,425
7,975
Kwa mke furaha yako ni mmeo, na mme furaha yako ni mkeo, basi muishi kwa furaha, amani, kushirikiana na kika siku kila mmoja awe na hamu na mwenzie, kila siku, kila mmoja abuni mbinu ya kumtia hamu mwenzie, mnapokutana kwenye tendo la ndoa hapo ubunifu uwe maradufu.

Chakula kuleni pamoja,mkitoka tokeni pamoja, kunyweni pamoja, kila mnapokerana nyie ndio zidisheni urafiki na mapenzi.

Ikiwezekana tengenezeni kanuni za namna ya kuishi na mkubaliane kila kitu kifanyweje kwa mujibu wa hizo kanuni.

Msiogope kukwaruzana maana nyie ni binadamu, muhimu ni mfanyeje mnapokorofishana.
 
Ukiweka furaha yako itegemeee mtu au vitu utakuja umia sana .

Furaha yako itatoka ndani yao na itategemea wewe binafsi unakabilianaje na hisia hasi ( haribifu) zinazojizalisha ndani yako.
usianze maisha na negative mind
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom