Habari WanaJamiiforums, Poleni na majukumu ya hapa na pale 🤝, Imekuwa kawaida Wanawake kulalamika kwamba wanaume hawaangalii wala kutilia mkazo kikamilifu kuhusu shida zao. Lakini ukweli ni kwamba...
Mpendwa taja kila kitu, kwa mfano...
Urefu wake, rangi yake, lugha yake, elimu yake, wadhifa wake kazini, mwenye dimples, utu wake, hobbies zake, maadili yake, umri wake, nk.
Hayo utakayoyataja...
Mwanamke awe na umri kuanzia miaka 20 na kuendelea. Asiwe na akili ya kitoto awe ni muelewa ambaye tunaweza panga jambo akaelewa na akafuata.
Makubaliano
Nitatunza mtoto
Nitahudumia
Mtoto...
Kuna dini moja inamwabudu mwanamke bikira, alizaa mtoto zaidi ya mmoja, lakini bado wanamuita bikira mtakatifu mama wa Mungu.
Dini nyingi wanaamini kwamba peponi ukifika unapewa wanawake bikira...
I have come to realize that marriage is not for everyone, and I have accepted that it may not be the right path for me. After going through multiple relationships and experiencing heartbreak, I...
Rejea kichwa Cha habari hapo juu Kuna Dem nimemfukuzia kama mwezi Moja hivi ila alichonijibu et Mimi Nina pigo za kichungaji
Kiukweli Mimi sio mchungaji wala Nini ila sijajua kajifikiria nini...
Hii kitu inanishangaza sana, nipo mkoa X ambapo ndipo makazi yakudumu yalipo ila sikai sana sababu ya kazi zangu, lakini ninakutana na mambo ambayo nadhan yanasababishwa na mabadiliko ya tabia ya...
Wapo watu akiwamo mgombea urais wa Kenya William Ruto kutetea kwamba hakuna haja ya kutahiri sababu ndivyo tulivyoumbwa
Mkono wa sweta na condom ni sawa na kutumia mafuta ya kujipaka mwilini...
Shosti wangu analalamika sana kuhusu kuishi maisha ya uke wenza.Mumewe alimuolea mke mwenza na toka wakati huo maisha yao ni ya shida tupu.
Kiwango cha maisha kimeshuka sana. Hakuna maelewano...
Hii imenikuta mara nyingi sana kiasi kwamba nimepunguza urafiki na watu wengi sana.
Unakuta una rafiki ako , Ila akitokea rafiki ake anakuwa busy sana na rafiki ake na wewe anakukataa kwa muda...
ntajaribu kuelezea kwa kifupi sana ili stories zisiwe ndefu na najua watu wengi hawapendi kusoma.sitoweka majina ya wahusika na nitakwepa pia kutoa details nyingi ili nisiwaharibie huko waliko...
Habari wakuu!
Aisee leo nahitimisha kwenye hii dunia ukiishi na kiumbe mwanamke usitegemee katu kua ukifulia ataweza ishi na wewe kama awali
Anaweza kujidai na kujikaza ili asikuoneshe wazi ila...
Mambo hayo ni:
(i) Matamanio ya mwanaume dhidi ya mwanamke wa aina fulani. Kibaiolojia kila mwanaume yuko tayari wakati wowote kushiriki tendo la ndoa na mwanamke wa aina yoyote ile ukilinganisha...
Wanaume tunapozeeka tunarudi kuwa watoto,
Wanaume husema "men age like a wine" wakiamini kua kadri wanavyokua ndivyo wanakuwa na mvuto zaidi kwa kuwa wanajijenga kiuchumi, ila ukweli ni kuwa...
Kwa bahati nzuri au mbaya tabia hii nilianzisha tangu naanza kuwa na mahusiano ya mwanzo kabisa, Mwanamke akisema ajisikii au kama sijamua hata arukeruke uchi usiku au mchana mzima siwezi...
Salamu kwa wote
Nakereka na tabia za mademu unamcheki ili aje ghetto mara pap jibu anaomba elfu 50 au laki, ukimchana kuwa baby nimeamka na nyegezi mdudu yuko juu naomba uje anakuunga na ombi...
Nakumbuka mama alishawahi niambia kwamba nikihitaji heshima ndani ya nyumba ni kuwa bora kiuchumi kumzidi mwanamke wangu.
Lakini mpaka sasa mapambano yanaendelea naona kabisa naelekea kubaya...
Wataalam,
Nimekuwa kwenye mahusiano ya takriban miaka mi3 Sasa na huyu Binti mmoja mtoto wa Kigogo mkubwa hapa Tanzania.
Kusema kweli Binti ananipenda na Mimi nampenda sana. ila changamoto...