Katika maisha yangu yote, sijawai kuona sherehe isiyo kua na furaha, wanandoa watakodi range, au V8 kwa ajili ya kuzurura na kupiga picha.
Lakini ndani ya mwaka mmoja ndoa inaanza kukosa nuru...
Hii mada ni complex kidogo. Hivi kama mapenzi ni kati ya watu wawili me na ke, how come kwenye jamii ionekane kama mwanaume ndo kampenda mwanamke? kuna utaratibu kwamba mwanaume ndo anatakiwa...
Tafadhali naomba nijielezee kwanza:
Jina langu naitwa mosses, dini yangu mkristo, mwili wangu wa kawaida wa kimazoezi na nina six pack, urefu wangu kawaida, rangi yangu maji ya kunde, uvaaji...
Hii inawahusu wale ambao mume anaishi mkoa tofauti na mkewe kwa sababu za kikazi.
Sio vyema kuishi namna hiyo. Ikiwa hamuishi pamoja kama wanandoa, mtakuwa na uaminifu kwa ndoa yenu kwa muda...
Yaani ndoa inadumu muda mfupi kuliko hata ule uliotumika kwenye vikao??
Kuna haja ya watanzania kubadilika ktk suala hili la sherehe za harusi. Tafakari ya kina ifanyike ili tuchukue mwelekeo...
WENGI WANAOTAKA WAKE ZAO WASIFANYE KAZI WANAUPEO MDOGO WA KUFIKIRI ALAFU NI WABINAFSI
Anàandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Chizi sio lazima uokote Makopo, kuna Chizi Fresh ambao ndio wengi wapo...
Wengi wao wakiwa na umri wa miaka 18-25 huwavutia wanaume wengi kwa ajili ya Ndoa ,lakini wao huwa hawapo tayari kuolewa kwa sababu mbalimbali
1. Umri wangu Bado mdogo kuolewa
2. Kwa sasa Bado...
Huu upwiru utakuja kutuua jamani aisee tunapaswa kuwa na tahadhari wakati huu wa ujana wadau ama kweli ujana ni kaa la moto wakuu ukiuvhezea vibaya utakuja kujuta uzeeni kiukweli yaliyonikuta jana...
Mwenye hela akipiga kimoja tu chalii.
Akili inawaza madeni, faida ilopatikana, biashara hii imeingiza milioni ngapi na ile ngapi
Sasa ukutane na kapuku ambaye kula yake ni ya shida, tee tee tee
A boy is attracted to girls. A man is attracted to women. Now, this has nothing to do with the actual age of a person. I'm referring to maturity, life vision and stage of life one is in.
In...
Kwema Wakuu!
Bado nafanya utafiti nipate uhakika wa moja kwa moja lakini mpaka sasa majibu yangu yanamuelekeo wa asilimia kubwa inayozidi 80% ya wanawake wembamba kuwa na tabia ya gubu, mdomo na...
Binafsi siri ya kuwa mtu makini na mwenye misimamo yangu binafsi ni baada ya kugundua taarifa nyingi ambazo watu wanazibeba kuwa ndio kweli mara nyingi si si za kweli.
Wrong information
Unakuwa...
Ni ukweli usiopingika jamaa kwa hizi wiki mbili ameiteka JF. Ukitaka kuprove hili angalia reaction ya watu pale aliposema amesitisha story yake. Unaweza kuwa na story nzuri lakini ukashindwa...
Unakuta kuna Mwanamke hana Bikra na kasha-Do na watu kadhaa lakini mwisho wa siku anamuomba mungu ampatie mwanaume mwenye hofu ya mungu.
Zingatia: Wanaume wenye hofu ya mungu huwa wanaoa...
Binafsi nashindwa kufanya tukio la aina hii, sijui ni ustaarabu au niceness ndio imenijaa ila kujibu majibu makavu huwa inaniwia ngumu. Hebu share nasi majibu makavu uliowahi kumpa mtoto wa kike.
awe mwanamke popote ulipo kaa ufurahi kuzaliwa mwanamke.wewe ni kiumbe muhimu sana kwa mwanaume,umbo lako,sura yako,sauti yako vyote ni alama ya urembo na umuhimu wako.jitunze,jilinde na jiweke...
Tumekuwa tukiwafundisha kila siku, japo mmekuwa wagumu kuelewa lakini hatutachoka kuwaelimisha. Tunaamini mtaelewa kidogo kidogo.
kama wewe umeo na una mke let say ana kazi au biashara au...
Habari za asubuhi ndugu zangu. ni kweli kuoa na kua na mke wakati mwingine ni jambo la heri na baraka ila kwa upande mwingine linaweza likawa ni jambo hatari, la maangamizo na la kujutia sana siku...
Habari wakuu.
Naomba niende moja kwa moja kwenye maada bila kupoteza muda.
1.Huyu ni mwanaume anayeweza mdudu tendo la ndoa Ata kwa zaidi ya dakika 30 na humrisha mwanamke ila tatizo lake mbegu...
Amani iwe juu yenu!!
Tuanzie hapa!!
Unajimu ama Astrolojia ni elimu juu ya uhusiano kati ya nyota na maisha ya binadamu duniani. Wanazuoni wa unajimu wanaeleza ya kwamba nyota zinaathiri maisha...