INSIDER MAN, MAN OF THE MOMENT!!!

INSIDER MAN, MAN OF THE MOMENT!!!

usomdudu

Senior Member
Joined
Dec 18, 2011
Posts
114
Reaction score
103
Ni ukweli usiopingika jamaa kwa hizi wiki mbili ameiteka JF. Ukitaka kuprove hili angalia reaction ya watu pale aliposema amesitisha story yake. Unaweza kuwa na story nzuri lakini ukashindwa kuipangilia ili ieleweke ila jamaa ameweza. Naamini akiimaliza tutapata kujifunza machache (kwa wale wanaoamini) na yatakuwa msaada kwenye shughuli za kila siku. Kudos INSIDER [emoji1534]
 
Ameteka mashoga tu
 
Naunga mkono hoja
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom