Hii ni kwa wale ambao
1. Wako single
Ivi jaman mlio singo mnaona kama mnaelekea kuingia kwenye mahusiano kweli??
Mnaonaje foleni ya kukaa kuwa singo inaenda au haiendi?
2. Mlio kwenye mahusiano...
Kuna msemo wa Kiswahili unaosema muda ni mwalimu mzuri.
Hili linaonekana wazi kwenye maisha ya wanawake. Labda tuzungumzie mastaa fulani wa kike ambao wanajutia sana maisha waliyoishi miaka ya...
Hii hapa ni ngumu kumeza ni kwa ajili ya wanaume, for men saikoloji mwanamke akikusaliti au akikucheat achana nae mara moja , hata kama akikupa sababu yoyote ile.
Mapenzi kwa mwanamke(achana na...
Habarini za Nanenane wana JamiiForums, moja kwa moja niende kwenye mada.
Binafsi kabla ya kuoa nilikuwa nina matarajio makubwa sana katika ndoa; ndoa yangu itakuwa yenye amani, upendo na furaha...
Hongereni kwa wiki mpya na poleni kwa msiba wa Gardner, mtu wa watu hajitangazi ila watu ndio wanamtangaza uzuri wake, Mchaga wa watu kaacha mtoto na mke, na mtalaka wake Lady Jay Dee.
Ulimwengu...
Habari wana jf kuna ishu inachanganya huku, kuna harusi miezi 3 ijayo sasa huyu binti anayeolewa anababa yake mzazi ambaye Hakushi naye alikuwa anaishi na mama yake wa mzazi wa kumzaaa na baba wa...
Namshukuru Mungu mimi nilipata mume hapahapa JF ndoa tumefunga na nina mtoto mmoja na mume wangu siku nitaanzsha uzi hapa
nlvomuadithia rafiki yangu n a yeye akanituma nmtumie maombi yake...
Yeye...
"Never under estimate the mind of a woman" anaweza kukufanyia lolote la ajabu bila we kulitegemea, mgine alikatwa umme wake kule Shinyanga na mkewe kimasihara kwa sababu ya wivu wa kua na mke...
Wanawake wa mjini tupunguze series za wanaume, unajikuta una mwanaume wa 15 bado unawaza kuolewa.
Hawa vijana wa mjini hawaoi bora umkamate lizee hapo uwe mke wa pili au watatu kuliko kuhesabu...
Ili mwanamke afunguke kwako lazima ajisikie amani na usalama kwako. Wanaume wengi huwa wanawapotezea wanawake zao kwenye kuongea, ndio mana wanawake wao pia huwapotezea kitandani. Sababu mwanamke...
1. Watu watakuheshimu kulingana na jinsi unavyojiheshimu, unavyozungumza na watu na jinsi unavyowatendea watu walio karibu nawe kwa heshima na nguvu nzuri.
2. Hakuna kiasi cha rushwa kinachoweza...
vipi kwema lakni??
Wanawake wamekuwa kwenye shida sana siku hizi, hata akiwa kwenye mahusiano bado anakuwa hana uhakika Kama kuna ndoa kweli au lah, na kwa kuwa wanaume wanajua wazi kwamba...
Nimeamua kuingia kwenye ndoa ya kikiristo baada ya kuishi umri mrefu bila ndoa. Natimiza rasmi miaka 40 nikiwa sijaandaa mtu wa kufunga nae ndoa.
Najua kuna wakubwa zangu na wadogo zangu umu...
Wapendwa wana MMU.
Kumekuwa kukisemwa mara kadhaa kuwa ukifanya mapenzi na mtu mnatengeneza muunganiko fulani ambao unakuathiri kwa namna moja au nyingine.
Wengi wetu tulivyoambiwa tulibaki na...
Spiritual bond soul tie.Watch who you lay down with.Kila unayekutana naye kimwili kuna sehemu yake inabaki mwilini kwakoo.Ndiyo maana unaweza ukakuta wengine are...