Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 17,558
- 27,527
Hongereni kwa wiki mpya na poleni kwa msiba wa Gardner, mtu wa watu hajitangazi ila watu ndio wanamtangaza uzuri wake, Mchaga wa watu kaacha mtoto na mke, na mtalaka wake Lady Jay Dee.
Ulimwengu umekuwa kama kijiji, sasa, je iwapo mwanamke atakuwa amemwomba Mungu ampe mpenzi, na akapata amani ya kuwa na kijana fulani hapo kazini kwake, au mtaani au wamekutana tu pahala na wanakutana kila jumapili ila hawajawahi kuongea na kijana hata akiongea anapiga story za Mange na Simba Fc, sasa dada wa watu afanyeje ili kuwezesha kutongozwa? Kumbuka dada ana mwili kama mwanaume tu -libido ipo juu sana na anakula vizuri!