kombaME
JF-Expert Member
- Aug 24, 2015
- 2,115
- 2,822
vipi kwema lakni??
Wanawake wamekuwa kwenye shida sana siku hizi, hata akiwa kwenye mahusiano bado anakuwa hana uhakika Kama kuna ndoa kweli au lah, na kwa kuwa wanaume wanajua wazi kwamba mwanamke anayejielewa huwezi kumpata bila kutangaza nia ya ndoa basi wamekuwa wakitumia mwanya huo ''kuwatafuna'' wadada, mwisho wa siku dada wa watu amefanya kila kitu akiamini anaolewa then anapigwa chini... Wanaumia sana, sema basi tu.
Twende kwenye mada, hebu tuangalie dalili kumi ambazo zitakuonesha wazi kuwa mwanaume wako atakuoa kweli;
1. Atakushirikisha kwenye mipango yake, sio kwa maneno tu ila atapenda ushiriki na umsaidie.
2. Hutapata tabu kujua mapungufu yake, hatoogopa kukuambia sina hela, hiki siwezi, n.k.. Ogopa Sana mwanaume asiyeshindwa, kila kitu anajua na kila ukimuomba hata km unamjua hana anasema kuna mpango naufanya nitakupa.
3. Hata akicheat huwezi kujua.
4. Hatoogopa kushiriki moja kwa moja nawewe hata katika mambo yako binafsi na kifamilia, hatoogopa kukutana na ndugu,jamaa na marafiki zako.
5. Atakutambulisha sehemu zote muhimu, kama kazini kwake, kanisan au msikitini, kwa watu wake wa karibu.
6. Atajitahidi kuhakikisha anakuonesha pengo lako kweny maishani yake na umuhimu wako, hapa atatumia mbinu mbalimbali Kama kuacha vitu ovyo ovyo unapomtembelea, kupenda umpikie zaidi unapomtembelea kuliko kwenda kula mgahawani.
7. Mnapofanya mapenzi, atakuwa anakutreat kwa unyenyekevu sana, i mean kuna baadhi ya mambo au style zitakuwa limited kama vile kuomba tigo,kukukunja kunja kihuni kihuni....... amini usiamini sisi wanaume tuna namna tofaut tofauti tunavyokuwa na wanawake kweny''game''. Utakavyomtreat bar maid ni tofauti na utakavyomtreat mtoto wa kilokole au wa kiislamu aliyeiva.
8. Atakuwa na furaha unapomtambulisha kwa watu, na atajitahidi sana kuwaheshimu wale unaowaheshimu na ambao ni muhimu kwako.
9. Ukifanya kosa atakuwa tayari kuongea nawewe na ukiomba msamaha kwa dhati hatokawia kukusamehe, nayeye pia akikosea atakuwa tayari kutaka msamaha wako (staili za kuomba msamaha zinatofautiana, nature ya wanaume sio soft sana, so hapa ataonesha dalili mbalimbal kama kukupigia simu, kutaka mtoke n.k.. Japo wapo wachache ambao hupiga hadi magoti)
10. Daima atakuwa mkali na anayekosa furaha pale atakapokuona umeenda kinyume au umeonesha kutomjali, (anaweza kuwa na wivu kupita kiasi yaani hata akiona namba mpya kwenye simu yako atauliza huyu ni nani, japo wengine sio lazima wawe hivyo)
Muwe na siku njema Jamani.