Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari za muda huu wakuu, Nisiwapotezee muda moja kwa moja nijikite kwenye mada Ipo hivi mimi kitabia nimekuwa ni mtu ambae sio muongeaji sana na huwa sipendi sana kujichanganya na watu huwa...
7 Reactions
84 Replies
5K Views
Kama mada inavyojieleza, napenda kujua tabia zao na jinsi ya kuishi na mwanamke Muha kutoka Kigoma. Maana nimesikia sikia mengi ya ovyo kutoka kwao ila sina uhakika. Mnijuze. Sent from my...
1 Reactions
24 Replies
6K Views
Kwa hapa nilipofikia naombeni msaada wenu wa mawazo yanaweza yakanifungua kichwa. Kiujumla mimi ni Ke, nina uhusiano na mwanaume mmoja hivi ananipenda,ananijali na kunithamin sanaaa na tulikuwa...
9 Reactions
108 Replies
12K Views
Habari Wana Jf niende moja kwa moja kwenye point, ni kwamba Mimi na mke wangu tulifunga ndoa miaka sita iliyopita na wakati huo tulikutana mkoani Ruvuma yeye akiwa mwajiriwa wa kampuni flani na...
38 Reactions
131 Replies
10K Views
NIMEULIZWA: NIOE AU NIOLEWE WAPI? Kwa Mkono wa Robert Heriel Watu kadhaa wameniuliza swali hili Baada ya kusoma Makala yangu inayomhusu Kaka Mkubwa PFunk Majani. Wameniuliza; NIOE wapi? Kwa...
7 Reactions
32 Replies
4K Views
Yaani mpaka sasa najiuliza, hivi hawa viumbe tutakuwa nao hata na mbinguni pia? Ntaumia sana aisee kama nitakutana nao kwa kweli Sio tu kwenye mapenzi, hata kwenye maisha ya kawaida hawafai...
1 Reactions
18 Replies
1K Views
Wakati dada zetu wakihangaika na kutafuta wanaume wa kuwaoa. Ndugu Sosa ambaye ni Meya wa huko Mexico kafunga ndoa na Mamba. Ona jinsi mamba alivyopendeza baada ya kuvalishwa shella. Unaweza...
11 Reactions
42 Replies
3K Views
Amkeni akina dada. Wewe amekukuta ukiwa mtu mzima, hivyo endelea kufanya yale yote aliyokukuta ukiyafanya. Usigeuzwe kuwa mtumwa ama mfanyakazi wa kazi za ndani baada ya kuolewa. Wewe ni...
12 Reactions
181 Replies
9K Views
Wakuu, huu dada ni jirani yangu wameishi na jamaa yake fresh kabisa hawakuonyesha ya ndani kutoka nje ila mambo yamefumuka kumbe dada ni mbaya mbaya mbaya kiasi kwamba jamaa ameishi kwa kuteseka...
9 Reactions
54 Replies
4K Views
Niliamua kuoa. Mwanamke ni mzuri sana. Anajua sana kukata kiuno na kunijali mimi vizuri, nimefurahia sana sasa, naenjoi sana ndoa. Nikawona kweli nililipa mahali kidogo sana ni dhambi kufanya...
13 Reactions
62 Replies
5K Views
Habari za muda ndugu zangu watanzania. mada husika hapo inaeleza maisha na mahusiano ya mapenzi katika Karne hii ya 21, na kizazi kijacho kwa Karne ya baadae itakuwaje. kwa Sasa maisha kwa hapa...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Habari wana MMU? Kunaki pisi kimoja nilikutana nacho jana, nikakiingizia swagga nikama nakitaka kikawa ni dizaini fulan kimeelewa show. Sasa leo sina hili wala lile kimenitafuta nikawa...
10 Reactions
44 Replies
4K Views
Hii ni baada ya kujenga mazoea ya kutembelea pharmacies za hapa na pale jijini ili kupata marafiki wapya wenye elimu zao kichwani Hili ni duka la pili nakutana na hivi vipeperushi na mabango ya...
1 Reactions
14 Replies
3K Views
Roho wa Mungu ametamalaki juu yangu na kunituma kuandika huu uzi ili kuokoa ndoa na mahusiano yanayokaribia kuvunjika kwa jambo alillolitengeneza Mungu. Ninaongea na wewe mwanaume ambae...
45 Reactions
108 Replies
10K Views
Hii inshu ya mwanamke ishi nae kwa akili kwako imekaaje? maana imenifanya nitafakari sana kiutani lakini kwamba ukiacha kutafuta tu pesa basi tuakikishe tunafuta na akili, eeh hapo hapo tutulie...
4 Reactions
23 Replies
2K Views
Wakuu baada ya semina yetu kama chama cha UWABATA kufikia maadhimio ya kataa ndoa nmefanikiwa kuishi miaka mingi bila kuwa na mpango wa kuoa, hivyo target succeed ila japo watoto ni muhimu kuwa...
16 Reactions
220 Replies
10K Views
Wakuu hii tuiitaje hii? Dada kamchokoza msela kaleta dharau kageuziwa msala
6 Reactions
33 Replies
4K Views
Heloo, Hope you are doing poaa. Leo Nina kaujumbe kadogo kwa rafiki zangu jinsia ya kike! Ni hiv, :zama za kususa, kuzira sijui atanitafuta shost angu utachina. Miaka hii ukipata mtu anayesomeka...
77 Reactions
469 Replies
22K Views
Wanasayansi wamekuwa wakifanya tafiti mbalimbali zinazohusu maswala ya Mapenzi na wengi wao wanagundua kuwa kufanya ngono ama mapenzi si tu kujihisi au kujisikia vizuri. Pia inaweza kuwa nzuri kwa...
3 Reactions
17 Replies
3K Views
Natumaini wazima wa afya huko mliko, niende moja kwa moja, Ndoa zina mambo mengi sana, kuna mda kama kijana naogopa siku nikiingia kwenye kifungo hiki. Nimepanga na jirani yangu hapa nahisi...
4 Reactions
37 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…