Good Vision
Member
- Apr 29, 2023
- 35
- 67
Wakuu, huu dada ni jirani yangu wameishi na jamaa yake fresh kabisa hawakuonyesha ya ndani kutoka nje ila mambo yamefumuka kumbe dada ni mbaya mbaya mbaya kiasi kwamba jamaa ameishi kwa kuteseka sana.
Kesi ya pili nashuhudia jamaa anaondoka anamwachia mwanamke chumba na mtoto mmoja akilazimika baada ya kunusurika kufa kwa mpango wa kikundi alichopanga mkewe!
Haijajulikana shida ni nini, dada kila jumapili anaenda church inashangaza, sijui kadanganywa na mahawala ama ni tamaa ya kutaka kitu gani kwa jamaa wakati mshikaji nae bado anajitafuta.
Sema kweli inahuzunisha kizazi hiki kimeingiwa na shetani mpya kabisa sio yule wa zamani.
KATAA NDOA NI UUWAJI, WIZI NA UKATILI.
Wale mnao kubali ndoa, hongereni siku mkikumbwa ndo mtajuwa nachosema.
NEW SINGLE MOTHER IN TOWN