isayaj
Senior Member
- May 10, 2022
- 156
- 150
Natumaini wazima wa afya huko mliko, niende moja kwa moja,
Ndoa zina mambo mengi sana, kuna mda kama kijana naogopa siku nikiingia kwenye kifungo hiki. Nimepanga na jirani yangu hapa nahisi anafanya kazi za magari yanayovuka mipaka ya Tanzania.
Jamaa anamaliza miezi haonekani mke wake mpole ila analiwa kila siku huku, sipendi kufatilia maisha ya watu ila nimeona nimshitue kama yupo humu ajue mkewe anapigwa muda huu wahuni wanakamia wake zenu.
Sent using Jamii Forums mobile app