Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wakuu habarini za wakati huu, Moja kwa moja kwenye mada. Nimegundua kwamba moja ya sababu kubwa inayotufanya tupoteze marafiki zetu ni hii tabia ya kukopeshana. Sasa hivi nimejiwekea msimamo...
66 Reactions
446 Replies
16K Views
Shalom Sina mengi sana hio elimu au utundu nimeikuta mbinga na kwa waluguru, inakuwa kama katerero ila yenyewe mwanamke anashika dudu na kujifanyisha kazi yeye kwa mkono wake ndani ya chungu...
2 Reactions
21 Replies
2K Views
Mtu ambae niko nae kwenye mahusiano kwa zaidi ya miaka 4, nikiwa na mipango ya kuoana nae. Leo nimejikuta nashindwa kumuelewa, Hapa chini ni baadhi ya text nilizochati nae kabla ya kumpigia simu...
11 Reactions
103 Replies
8K Views
Changudoa home Arusha, baba Mngoni, mama Mchagga Ilikuwa hivi; baba na mjomba waliwekwa Korokoroni kwa kesi ya ujambazi tukiishi na kusoma Arusha. Mimi na wadogo zangu wawili kuna siku ghafla...
19 Reactions
594 Replies
71K Views
Habari zenu wakuu. Naomba kwa wajuzi wa Kabila tajwa hapo juu wanijuze utaratibu wa kuoa Kibosho. Vitu kama mahari vinakuwaje ili angalau nipate mwanga kidogo. Asanteni sana Mrejesho...
8 Reactions
208 Replies
28K Views
@arusha, baba mgoni, mama mchagga By that time my dady and uncle were serving jail sentense, uchumi home ukayumba sana ikalazimika mabanda ya uani tuwape WAPANGAJI. nilikuwa form two to three...
1 Reactions
93 Replies
6K Views
Mama Mchaga, baba Mngoni Arusha. Nimewahi kuwa Changudoa, nilifanyia Nairobi Kenya. Rejea kisa katika NILIWAHI KUWA CHANGUDOA- JE, NIMJULISHE LEO NAZUNGUMZIA KUFIKA KWA MWANAMKE kupitia...
8 Reactions
348 Replies
59K Views
Bonjour Hivi unaweza kuwashahuri wazazi wako , au mmoja kati ya mzazi wako, azae / aongeze mtoto/ watoto. Ni swali tu
5 Reactions
25 Replies
2K Views
Habarini wana JF, Naomba niende moja kwa moja kwenye point mimi ndugu yenu ninatatizo tena kubwa mno nahisi siku hadi siku linakuwa kubwa yaani sioni ukamilifu wangu kama mwanaume najihisi...
5 Reactions
69 Replies
9K Views
Wakuu..mtoto miaka 6 anaenda 7 hivi ni haki kulala na wazazi mama yake anangangana kuwa ni kawaida. Ana chumba chake kizuri na cha gharama kwel ila toto linataka lala na mama. Mnaonaje wakuu...
10 Reactions
67 Replies
4K Views
Mahusiano imara ndio siri ya furaha ya kweli Kila mmoja wetu anapenda kujenga mahusiano imara na yenye furaha. Lakini je, ni nini kinachohitajika kuwa na mahusiano ya kudumu? Hapa kuna vidokezo...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Shikamooni wakubwa, Mimi ni kijana wa kiume mwenye miaka 22 nipo chuo mwaka wa pili. Kwenye darasa ninalosoma yupo msichana ambaye mmoja nampenda sana na ni rafiki yangu sana ila shida inapokuja...
13 Reactions
75 Replies
5K Views
Habari wakuu, miezi mitatu iliyopita nilikuwa ni mwalimu wa kujitolea shule moja ya serikali. Mama yule alikuwa kapata nafasi shule. Basi mama yule alifika ili aonane na makamu mkuu wa shule ili...
15 Reactions
54 Replies
10K Views
Wakuu habari, Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 21 sasa, niko chuo X. Naomba niende straight kwenye point wakuu maana nahitaji msaada wa haraka sana. Nimetokea kumpenda binti flani ambaye niko...
12 Reactions
187 Replies
6K Views
Hali gani? Sijawahi na sidhani kama nitawahi kushuhudia tajiri akianguka mapepo... siyo kwamba haiwezekani la, inawezekana. Katika kupita pita kwangu kwote sijawahi kuona mwanamke kutoka...
5 Reactions
16 Replies
1K Views
Kutokana na muda kwenda na mambo kubadirika nimekuja kugundua asilimia kubwa ya wanawake hawaishi kwa muda uliopo wanaishi muda ambao wanaume wengi bado hawajaufika. Kwa kuanza naomba...
3 Reactions
18 Replies
1K Views
Si mnafahamu tena kuwa mtoto kwa mzazi hakui? Nimerejea nyumbani kuinjoy rikizo yangu ya kazi Kuna binti nimemkuta hapo home as housegirl. Mdogo mdogo hivi na kamwili kadogodogo hivi. Kwa macho...
2 Reactions
44 Replies
4K Views
Wakuu habari za usiku! Twende kwenye mada moja kwa moja, kitambo hicho nakumbuka nilikuwa na washikaji enzi hizo sipendi shule kabisa nilikuwa toto tundu aswaa. Nakumbuka iyo siku tulikuwa tupo...
4 Reactions
41 Replies
4K Views
Yeremia 3:6-8 [6]Tena, BWANA akaniambia siku za mfalme Yosia, Je! Umeyaona aliyotenda Israeli mwenye kuasi? Amepanda juu ya kila mlima mrefu, akafanya huko mambo ya ukahaba, tena, chini ya kila...
2 Reactions
5 Replies
506 Views
Habari za muda huu wakuu, Nisiwapotezee muda moja kwa moja nijikite kwenye mada Ipo hivi mimi kitabia nimekuwa ni mtu ambae sio muongeaji sana na huwa sipendi sana kujichanganya na watu huwa...
7 Reactions
84 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…