Aisee itakushangaza ila jua tu kwamba hapa duniani kuna mambo mengi sana ya kushangaza na kukuacha mdomo wazi hili likiwa mojawapo la huko Marekani ambapo unaambiwa mwanamke mmoja amemuomba mumewe...
A/alleikum
Naitwa Bakari Hamisi mkazi wa Dar es salaam.
Umri 32 miaka.
Kazi: Muajiliwa (Electrical engineer)
Natafuta mchumba ambae atakuja kuwa mke kama tukiridhiana
Sifa
Uwe Muslim
Elimu yoyote...
Wakuu poleni sana na majukumu ya kutwa nzima. Ipo hivi mke anataka kujua password ya simu yangu tena analazimisha.
Sasa nataka aguse simu nimpasue, leo napasua mtu.
kama kichwa cha habari kilivyo hapo juu natafuta rafiki wa kike ila sina maisha kabisa[emoji3] naishi Arusha Elimu ni ya uhasibu but it didn't work[emoji16]
Ulikuwa na orodha ndefu ya wanawake wa kuoa, Ila uliwatupilia mbali wengine wote na ukamchagua hiyo uliyenaye leo. Ni hakika ulichagua saizi yako, ulichagua binti ambaye alikamilisha utu wako...
Wapendwa niko huku kijijini mapinga ,bagamoyo katika harakati,nastukizwa na kundi la watu wanapiga kelele na shangwe wanamsindikiza jamaa kaoa kwa mkeka,nauliza ndoa ya mkeka ni ndoa kisheria ..?
Jana weekend jioni nimekaa zangu sina ili wala lile nikaona nimcheki bro tunaishi wilaya moja ila maeneo tofauti tukasalimiana fresh nikaulizia kuhus familia yake akanambia shemeji yako kaondoka...
Dada zetu mtalea sana watoto peke yenu na kujipa usingo mother usio na sababu, kumbukeni kuwa kuzaa ni mipango ya watu wawili mama na baba.
Sasa unakutana na binti kaanzisha tu mahusiano na mume...
Mazee! Hata uwe na pesa kiasi gani, kuoa mwanamke aliyekuzidi urefu i mean urefu wa kimo pamoja na elimu lazima akusumbue na utaibiwa sana.
Hii ishu kubwa sana kwenye ndoa ni wanawake wachache...
Hiki kitendo anachonifanyia baby mama wangu sielewi kbsa
Mara nyingi unakuta amepost na kuwa wish birthday na kuwapongeza kwa mafanikio mbalimbali wanao fikia hao jamaa ,hata wanaomaliza masoma...
Salam sana popote mlipo
Ndugu zangu haijalishi kwamba mwanamke kwenye maisha ya mwanaume ni msafiri na safari yake ikifika mwisho ana kubwaga pasi na sababu yeyote na kwenda kwa mwingine epuka...
Habari zakupotezana ndugu zangu Wana JF wenzangu,
Mwezi wasita mwaka huu mzazi mwenzangu aliniomba aje aishi kwangu maana haileti picha nzurii yeye kuendelea kuishi kwao hali yakuwa anamtoto...
Condoms za siku hizi zimekuwa ndogo, zinabana na zinatoa harufu mbaya
Yaani nikivaa kondom siku hizi inaweza funika tu nusu ya uume nusu ikaingia ukeni bila kufunika uume wote
Sijui kuna agenda...
Nitandika Kwa kifupi najuwa mmu watu hawapendi magazeti.
Wazungu unafki huu hawaiwezi, kuishi na mtu eti kisa mna watoto lakini upendo umekufa.
Mi ni mtu wa society Kwa utafiti wangu wa miaka...
Kuna baadhi ya wanawake wanaenda na kauli mbiu kuwa mwanaume ni wajibu wake kutafuta Hela, yeye kazi yake kutumia.. Hilo janga kwakuwa linapingana na neno la Mungu kuwa asiyefanyakazi na asile...
Ndugu zangu wana Jf wanaume wengi sana hawatopenda kusikia ukweli huu maana unachoma kama moto kwa kisingizio cha masikini naye ana haki ya kupendwa na msemo wa mwanaume tafuta hela kuuchukulia...
Mwanamke anachokifuata kwenye mahusiano ni pesa (uchumi) na si mapenzi.
kama uamini, poteza kipato uje utoe ushuhuda hapa jukwaani.
Kama huna kipato au ramani zako hazisomeki, atakuvumilia kwa...
Hii ilikuwa kitu ya kawaida sana enzi za wazee wetu.
Nini kimebadilika wakuu?
Au binadam wa leo ni wa mbegu tofauti?
Maana huyo mtoto mmoja tu lazima awatoe kamasi na msipokaa sawa utasikia...