Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Katika mahusiano kila mtu huwa anahisia zake huyu anapenda hivi huyu anapenda vile sindiyo. Sasa hebu funguka hapa, wadada hivi kati ya mwanaume mweusi na mweupe yupi anakuvutia zaidi.
18 Reactions
379 Replies
21K Views
Hisia hazitabiriki. Hisia zinabadilika haraka sana. Hisia zinaweka kufanya uharibu mambo. Hisia zitakufanya uhisi huna maamuzi kwa muda huo lakini akili ni maamuzi ya muda mrefu. Maamuzi ambayo...
4 Reactions
13 Replies
4K Views
WANAUME •Wanaume hujisikia salama •Husaidia kushuka chini wakiwa na hasira •Hujisikia ana rafiki wa kweli •Hujisikia kupendwa •Hujisikia ni mali yake •Ni nafasi na kutoa na kupokea upendo •Kusikia...
1 Reactions
4 Replies
985 Views
Tutasalimiana baadae ngoja ni jump mpaka kwenye mada yenyewe. Mimi nimeoa mke ambae mtumishi(anatumikia vyeti vyake) ambapo inapelekea mke wangu kupata ma safari ya kikazi ambayo muda mwingine...
24 Reactions
132 Replies
15K Views
Watu wamekuwa wakilalamika sana kwamba ndoa ni ndoano hawaoni raha ya ndoa but ukweli shida ni wao wenyewe kutojua maana ya ndoa na ni kwa namna gani wanandoa wa behave. Ndoa ni heshima ila lipo...
10 Reactions
18 Replies
2K Views
Wanawake wengi katika ndoa hulalamika sana hasa kutokana na kukosa msisimko wa mapenzi wakati wa faragha. Wanalalamika kwa kuwa wanaume kila siku hutoa kitu kilekile, anakubusu, anakugusa kidogo...
4 Reactions
16 Replies
981 Views
Huyu bwana ni Mtumishi wa umma huko mwanza, ameng'atwa mdomo na Mkewe!
16 Reactions
146 Replies
5K Views
JF habari!!! Mwanzo 1:28 (KJV) Mungu akawabarikia, Mungu akawaambia, Zaeni, mkaongezeke, mkaijaze nchi, na kuitiisha; mkatawale samaki wa baharini, na ndege wa angani, na kila kiumbe chenye uhai...
7 Reactions
180 Replies
7K Views
1. Ameona na kusoma messages zako ila hajajibu na yupo online (Bluetick) 2. Unamuona online ila hawezi hata kukutext, yaani mpaka wewe mwenyewe uanze kumtext 3. Mlipokuwa mnaongea kwenye simu...
8 Reactions
93 Replies
3K Views
Kuna malalamiko hasa upande wetu sisi wanaume juu ya tabia moja ya kuomba hela inayofanywa na wanawake. Tabia hii imepewa jina "Kuomba hela" sababu ndicho kitendo kikuu hapo hakuna jambo lingine...
14 Reactions
123 Replies
6K Views
Wakuu hii hutokea sana tena Mara nyingi huko tunapokuwa tunatafuta elimu Unaweza kuona mwalimu wa kike/kiume kampenda mwanafunzi wake au mwanafunzi wa kiume kampenda mwalimu wake wa kike/kiume...
14 Reactions
52 Replies
7K Views
Habari zenu wana Jf, Naitwa Bi Mariam, natafuta mume aliye serious, anayetaka kuoa, mwenye sifa zifuatazo; Umri : 34 - 40 Dini : Mkristo Elimu : Awe na Digrii na kuendelea Awe ameajiriwa...
28 Reactions
336 Replies
16K Views
Future wife ni mjasiriamali mzuri ila mkoa ninapofanyia kazi hakuna mishe mishe mzunguko mdogo watu wengi hawana kazi so wamekalia majungu sana na usengenyaji nilichofikiria ni kupanga maghetto...
4 Reactions
23 Replies
1K Views
Hii imemtokea rafiki yangu mmoja alianzisha mahusiano na kijana mmoja baada ya kama miezi miwili kupita huyo kijana akaanza kuwa anamuomba huyo dada pesa na kumueleza shida zake mbalimbali ili...
4 Reactions
26 Replies
2K Views
Ni wadhaifu sana, chombo kisicho kua na nguvu na kweli kabisa wengi wao upeo wao ni mdogo huku wengine wakiwa wapumbavu sana ila huwezi m-replace mwanamke na punyeto Ukipata mwanamke/ mke umepata...
11 Reactions
30 Replies
4K Views
1. Mwanaume akifurahishwa na mchepuko, mara nyingi hakuna mabadiliko kwa mwandani wake. Inakuwa kawaida tu. 2. Mwanamke akifurahishwa na mchepuko, anazidisha furaha nyumbani na ana act unusual...
10 Reactions
15 Replies
3K Views
Huu ni ujumbe wa Mdau kutoka Instagram huko. "Nina miaka 25 nataman sana kuoa lakin naumiza kichwa sana kuangalia mwanamke wakunifaa kulingana na wanawake wa siku hizi. Sasa kuna Dada nafanya...
8 Reactions
61 Replies
5K Views
Kwa sasa mahusiano yote kiujumla system na maintanance cost yake ni sawa na kununua kahaba. Mwanamke akija kukutembelea ugharamie usafiri, ukienda kumtembelea utaambiwa njoo na kitu fulan mfano...
8 Reactions
51 Replies
3K Views
Kama unavyojua wanawake hawapendi amani idumu kwenye mahusiano mkikaa muda mrefu bila mkwaluzano wowote atatafuta tu sababu ya kuanzisha marumbano hata kama ni sababu ya kijinga ilimradi tu akuone...
7 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari, mimi nimeoa nina mke na nimezaa nae watoto wa nne, mke wangu ni mzaliwa wa tanga, kuna mistake ambayo nilifanya nilijikuta natoka nje ya ndoa yangu na kuanzisha mahusiano na binti mwingine...
5 Reactions
32 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…