Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Kijana wa kiume amesimama na binti wa kike mahali flani, presha ya kijana iko juu, halafu anabadili tu jinsi ya kusimama, hatulii, mara mikono mfukoni, mara akunje nne ya kusimama sijui anaminya...
6 Reactions
14 Replies
1K Views
Basi mazee nikapata demu flan hivi mngoni. Kila nikinyoosha goti ametulia tu hatikisiki wala nini, ikabidi nimuulize nikufanyie nini ili uridhike, akacheka kidogo harlafu akanionesha kijiti cha...
12 Reactions
30 Replies
2K Views
Habari ya jioni wana Jf poleni na mihangaiko ya hapa na pale, Baada ta kupoteza Id yangu ya zamani nilisema sitarudi tena Jf ila kwa hili imebidi nije mwenyewe. Naombeni mnipe ushauri. Nimekuwa...
14 Reactions
93 Replies
4K Views
Shalom, Huu sijui niite ni dharau, maringo, ubaharia au ujinga wa kitoto. Ubaharia wa kidwanzi ndio huu kuna siku nikichukua namba ya demu mmoja hapa jijini Dodoma, nikambeep Fair kabisa. Kesho...
14 Reactions
31 Replies
2K Views
Well Miaka ya nyuma kidogo nikiwa A level nilipata manzi wa kizigua kwenye ndinga wakati huo kuona simu ya rangi ilikuwa msala,manzi alikuwa nayo sonny, wakati huo. Sijui ilitokea nini tukaanza...
6 Reactions
19 Replies
2K Views
Haijalishi Una hela au hauna ila achana na tabia ya kupiga mipira iliyokufa . Tafuta Mwanamke anyejielewa ambaye yupo katika peak yake Usisubirie ameshazalishwa kachoka then wewe ndo ujitose...
49 Reactions
135 Replies
6K Views
Tuzo hii itakuwa kivutio kwa mabinti na itakuwa chachu ya mabinti kutunza usichana wao mpk siku ya ndoa. Tunzo hii iendeshwe nchi nzima kila ngazi "ngazi msingi" i.e kila kitongoji/mtaa. Vyeti...
15 Reactions
99 Replies
3K Views
Kwa wale tuliozaliwa Vizazi vya Zamani ilikuwa ni nadra sana kumuona Baba hata kwenye Vikao vya muhimu vya Wazazi. Mara nyingi kazi hii ilifanya na Mama na Baba aliletewa taarifa ya nini kimetokea...
4 Reactions
17 Replies
1K Views
Huyu rafiki yangu nilimtembelea nyumbani kwake Dar es salaam. Mimi nilikuwa nafanya kazi Mtwara na nilikuja Dar ili niunganishe usafiri wa kwenda kwetu Musoma. Nyumbani kwa rafiki yangu...
44 Reactions
121 Replies
18K Views
Nataka kujua hawa dada zetu waliokeketwa wakiwa wadogo hawajitambui kipindi hicho je wanakabilianaje na suala la kuridhishwa kimapenzi. Maana huwa nasikia ni wagumu sana kukojozwa kabisa sasa je...
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Nimetoa mahali mie sio muhusika huyu mtu anaomba ushauri wenu. Anaishi na mkewe na wameoana ila mke wake anamkasirikia maana huyu kaka analala kitanda kimoja na namama yake. Yeye amesema wala...
0 Reactions
9 Replies
569 Views
Wana MMU kuna historia nyingine za Mapenzi zinatesa sana. Kuna mdada mmoja tulikuwa wapenzi na uhusiano wetu huo wa kimapenzi ulianza 2009, kwa bahati mbaya au nzuri mi ndiyo niliyekuwa...
1 Reactions
129 Replies
18K Views
Wakubwa njoeni tumalize huu utata maana ipo siku nitamchapa makofi huyu mwanamke ambaye ni mke wa mtu hadharani na adhalilike kabisa. Kama tujuavyo kuna baadhi ya majina ya kiume ukinyumbua...
6 Reactions
74 Replies
5K Views
Habari ningependa kujua hivi watu wanaopenda kutoa lugha chafu huwa wana matendo Gani machafu yaliyojificha nyuma yake?
1 Reactions
11 Replies
825 Views
Mmmmh.... Nimewaza. Unamwambia mpenzi wako akunyonye mashine sababu unapenda. Kumbe siku hiyo kaamka vibaya network inakuja inakata, inakuja inakata inasoma EDGE kidogo inapotea. We unachukulia...
13 Reactions
32 Replies
2K Views
Dah nimejaribu fikiria sana kuhusu hii kitu. Kuhonga mwanamke au kumpa hela ili ulale naye wewe mwanaume si halali bali kutoa posa au mahari ili kujiakikishia unakuwa na mbususu maisha yako yote...
3 Reactions
6 Replies
765 Views
Hii ndio kauli niliyoambiwa na wife wangu kipindi hiko nipo moto balaa michepuko kama yote sieliwi nawaza misabwanda tu. Hii kauli ilibadili maisha yangu sana. Nikawa mpolee na familia.. Wewe...
7 Reactions
12 Replies
895 Views
Copied somewhere 1. Have a joint vision for your love. Don't just be together without direction. Agree on areas you will grow in, things that will define your year and projects you will pursue...
2 Reactions
4 Replies
884 Views
Ndugu zangu.. Hawa wanawake wa sasa sijui shida ni nini , hawapo romantic kabisa , ni wakavu mno na hawaonyeshi ushirikiano chanya wa kihisia kwa mwanaume. Ni wagumu sana kihisia mpaka mtu...
2 Reactions
10 Replies
758 Views
Katika mahusiano kila mtu huwa anahisia zake huyu anapenda hivi huyu anapenda vile sindiyo. Sasa hebu funguka hapa, wadada hivi kati ya mwanaume mweusi na mweupe yupi anakuvutia zaidi.
18 Reactions
379 Replies
21K Views
Back
Top Bottom