Raymanu KE
JF-Expert Member
- Jan 20, 2022
- 7,080
- 13,054
1. Ameona na kusoma messages zako ila hajajibu na yupo online (Bluetick)
2. Unamuona online ila hawezi hata kukutext, yaani mpaka wewe mwenyewe uanze kumtext
3. Mlipokuwa mnaongea kwenye simu alikwambia ukate siku kidogo atakupigia badae muongee.Cha ajabu leo siku ya tatu yupo kimya tu hajakutafuta.
4. Yupo online, umemtumia message ila hajaisoma (hapa Kuna uwezekano ameona message yako ila amekataa kuifungua).
5. Amekuwishia good night saa mbili, Lakini saa nne usiku utamuona online.
Hivi unadhani kwa hayo matano hapo juu ni kipi kinachoumiza zaidi?