Ni wakati wa serikali kuhalalisha biashara ya ukahaba ambayo inafanyika kimagendo

Natafuta Ajira

JF-Expert Member
Mar 25, 2020
4,418
9,806
Kwa sasa mahusiano yote kiujumla system na maintanance cost yake ni sawa na kununua kahaba. Mwanamke akija kukutembelea ugharamie usafiri, ukienda kumtembelea utaambiwa njoo na kitu fulan mfano chipsi kuku, mnaishi sehemu tofauti lakini utahitajika umlipie umeme, gas na wakati mwingine hadi kodi ya nyumba na husipo fanya ivyo mwanamke anaona ni halali kumpa penzi mwanaume mwingine.

Mapenzi ni mutualy basic need lakini mwanaume anabebeshwa gharama kama vile anauziwa au anafanyiwa favour ambayo kiungwana tu itatakiwa kulipia posho, mwanaume anabebeshwa gharama ambazo kimsingi mwanamke alitakiwa kuwajiba nazo mwenyewe au kama hana kazi basi alitakiwa kugharamiwa na wazazi wake.

Kutongoza ni kuonyesha hitaji la kuwa na mahusiano ya kimapenzi na mwanamke husika sasa pale mwanamke anapotumia hitaji ilo la mwanaume kama fursa ya kupiga hela ndipo hapo anakua hana tofauti na kahaba. A woman who contribute absolutely nothing just because she provide sex that is indirect prostitutions.

Misemo ya kuhalalisha indirect prostitution imekua mingi mfano "tafuta hela", "mwanamke anahitaji matunzo" n.k, sio kila mwanaume anafagilia kuhonga na kuombwa ombwa hela hata kwa mambo madogo kama vocha, nauli n.k sasa kwa kuwa mapenzi yashakua huduma ambayo kuipata unahitajika kutoa hela basi serikali iruhusu biashara ya ukahaba ili kama mwanaume hatolipia ijulikane hana hela au hana huitaji wa huduma ya mbususu kwa wakati husika.
 
Tamaduni hairuhusu
bolo-yeung.gif
 
Back
Top Bottom