Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Na.Comred Mbwana Allyamtu-CMCA Saturday 04/05/2024 Mpanda-Katavi Leo nazungumza na wanaotaka kuoa, "Mary who you understand and understand who you marry", ni lazima ujue yupi wa starehe na yupi...
7 Reactions
9 Replies
1K Views
Mambo yasiwe mengi, Shemejienu leo kanitolea mpya. Tangu nimepata mtoto kama mwaka mmoja uliopita, maisha yetu ya chumbani yalibadilika, na mwanzoni haikuwa ishu kwangu wala sikunotice sababu ya...
67 Reactions
403 Replies
28K Views
Ujumbe wangu ni mfupi tu, kama wewe mambo ya kelele ni turnoff kubwa sana kwako, KATAA NDOA!!! Wanawake sisi ni wapiga kelele, tuna-nag, tuna story zisizo na kichwa wala miguu, tunalalamika sana...
60 Reactions
170 Replies
8K Views
Wakuu, Kabla huzuni na majonzi hayajatutoka kufuatia mauaji ya mwanamke mrembo na wa kisasa kuuwawa na mumewe huko Mwanza, mtajwa hapo juu bibie Joyce Kiria anazidi kupigilia 'msumali' na...
6 Reactions
72 Replies
7K Views
Habari wana JF;nilikuwa nina mpenzi wangu ni mwaka sasa ambaye yeye amesomea community dev. na nimesomea ada.kipindi tunaanza mahusiano ndio alikuwa ametoka fresh from chuo na kupata kazi karibu...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Hii inachekesha kidogo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Je wewe ni aina gani ya Mke au upo katika aina gani ya mke? Hata kama hajaolewa lakini unatumaini kuwa Mke wa mtu. 1. BOXING WIVES : Hawa ni aina ya wake wanaopigana...
18 Reactions
244 Replies
9K Views
Kwa nini watu fulani wanaamini kwamba kuvaa pete kwenye kidole cha pete itawafanya wapenzi wao wasiwe waaminifu?
1 Reactions
5 Replies
615 Views
Huyo baba ameshiriki engagement party ya huyo bint na picha alikuwa anachukua Kama kumbukumbu ya tukio, lkn inaonekana walikuwa na mahusiano au walianza baada ya hiyo shughuli, hiyo picha wako...
11 Reactions
146 Replies
7K Views
Nimeshapata wadau Msiniandikie tena meseji.
17 Reactions
179 Replies
28K Views
Hello people. Ndugu zanguni nina hali fulani hivi siielewi. Nampenda sana shemeji yenu na kwa jinsi alivyo nimejikuta namuheshimu sana ila nahisi kama heshima imezidi hadi imegeuka woga hivi...
41 Reactions
328 Replies
16K Views
Baada ya kukagua nyumba yao, wenye nyumba wanaweza kuchagua kuibomoa au kuirekebisha. JE, NDOA yako imefikia hatua hiyo? Huenda mwenzi wako amekosa kuwa mwaminifu au ugomvi wa kila mara umefanya...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Achilia mbali kwajili ya kuuza upate pesa au hata kama huzitumii, lengo na madhumuni ya kurecord video na picha za utupu na kuzihifadhi kwenye simu au laptop yako nini hasa? Ili iweje unazitunza...
5 Reactions
15 Replies
2K Views
Naomba tushauriane mambo makuu yafuatayo: 1. Jinsi ya kuwakamata/kuwavuta wateja, naambiwa ukiwawekea wahudumu wanawake wazuri lazima wajae. 2. Jinsi ya kudhibiti mapato kutokana na wizi au...
0 Reactions
47 Replies
7K Views
Ukomavu haupimwi kwa umri, ni mtazamo unaojengwa na uzoefu. Hapa kuna sifa 10 za mtu aliyekomaa. Hufurahi kuwa peke yao: Wanastarehe wakiwa peke yao na hawahitaji marafiki au watu karibu nao...
3 Reactions
4 Replies
552 Views
Ngono ni tamu lakini Inaweza kuharibu hatima yako kuna baadhi ya wanaume wanakuwa na Wanawake wengi. Ngono ni kukutana kiroho sio kila msichana ana roho nzuri, wengine ni pepo, wengine wana sumu...
10 Reactions
14 Replies
2K Views
Kuna watu wanajikuta wanajibu kila tuhuma zinazosambazwa kuhusu wao ila kama wangefahamu akili za wanaowasambazia wangekaa tu kimya UKIWASIKILIZA VIZURI UNAGUNDUA YAFUATAYO 1. Wanaongea kwa...
1 Reactions
2 Replies
410 Views
Nimeona nitoe tahadhari, Tanzania ni kubwa na tamaduni tofauti. Kwa kilichotokea huko Goba, Dar kiwe funzo Kwa wanawake wa mjini kujia tamaduni za wanaume ngangari na wagumu hasa kutoka Kanda ya...
12 Reactions
56 Replies
3K Views
Kuna kaka (baba) mmoja anakopesha kwa riba, akawa ana date dada mmoja mke wa mtu.... Yule dada na mumewe wakapata dharura, akashauri mumewe wakope pesa kwa mchepuko (mumewe hajui kama mkopeshaji...
12 Reactions
53 Replies
4K Views
Wanaume ambao mnawatoto embu tupeni uzoefu wenu kwa mara kwanza unampelekea Mwanamke wako hospitali kujifungua,hiyo siku ilikuwaje na kipi utoweza kusahau kabisa
5 Reactions
72 Replies
4K Views
USIJIINGIZE KWENYE MAHUSIANO UKIANZA KUONA DALILI HIZI Na Comrade Ally Maftah Changamoto nyingi zinawakumba watu kwenye mahusiano huwa dalili zinakiwa zimeshaonekana mapema tu.na dalili hizo ni...
4 Reactions
10 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…