CRISTA
Member
- Aug 5, 2012
- 80
- 38
Habari wana JF;nilikuwa nina mpenzi wangu ni mwaka sasa ambaye yeye amesomea community dev. na nimesomea ada.kipindi tunaanza mahusiano ndio alikuwa ametoka fresh from chuo na kupata kazi karibu na ninapofanyia kazi;
Sasa cha ajabu toka tulipoanza uhusiano nilimsoma kuwa ni mtu kuuchukia chukia bila sababu za msingi,mbinafsi lakini pia amekuwa akitaka usawa sana hata katka kupika na kufua.kazi zote hizi anataka tufanye sawa. mfano;kama anapika ugali ananiambia nichambue mboga.kuna kpindi tulikorofishana tukaachana na nilipata fursa ya kumwambia yote niliyokuwa cyapendi kwake basi akaniomba msamaha cana mwezi uliopita nikarudiana nae.ni kweli kwa sasa amejirekebisha;Ila wasiwasi wangu huyu ni kwamba amejirekebisha au kwa kuwa anahtaji kuolewa na baadae afungue makucha?USHAURI WENU JAMANI