litutumbwe
JF-Expert Member
- Mar 13, 2023
- 731
- 1,378
Tulikuwa tunashiriki tendo sasa imetokea tumepishana kauli kai kati ya tendo.
Mke wangu amechomoa neti na kuniviringisha mwili mzima..
Hapa ninapoongea nimefungwa kwenye wavu na sina ujanja. Mbaya zaidi nipo uchi
Najiokoaje? Ni mzito mno hii ndo changamoto yangu.
Nb: ni tulipishana kauli tu ndo amenifunga kwenye neti