Kama uliolewa na hukuwa bikra usiwe na wivu

buffaro89

JF-Expert Member
Jul 12, 2016
592
378
Hello, women,

Hakuna kitu kibaya kama mwanamke kuchezea alimashauri zake, kwani mtoa slid asipokuwa mume wako atakayekuoa, ndoa ndipo zinapoanza kuwa na changamoto, wengi wetu kama wanaume huwa tunakutana na wanawake wakiwa tayari walikwisha tolewa bikra zao hapo awali, changamoto inapo kuja kuonekana kama wanaume, pale unapo ishi na mke/mwenza ambaye tayari alikwishagawa tunda kwa watu wengine.

Hiyo inatuumizaga sana kama wanaume, na mtu asipokuwa makini ndio anaanza kutoka na nje ya geti, kuona kama kuna mbwa wanakatiza mtaani, ili mradi ajitoe strees kama unajua uliolewa na hukuwa na bikra, unatakiwa uwe mnyenyekevu, mpole, mvumilivu, msikivu kwa mume wako, ili kulipa ile gharama uliyoitumia kwa lile lijamaa.

Sasa tatizo linapo kuja, mwanamke unajiona bado unathamani mbele za mume wako, na uku, bikra ulimpa mwingine, hakuna zawadi nzuri kama kumpa mmeo bikra yako, nakwambia kweli, uyo mwanaume atakuwa anakubeba kwenda na kuludi, unapo kuwa unatokea kazini, mwanaume huyo atakupenda kutoka moyoni, lakini sasa kama utu wako ulimpatia mwingine na damu ikatoka kama naziri, basi, nenda ukavumilie changamoto zitakazo kuwa zinatokea katika ndoa yako, kichekesho pale na wewe unapo rudisha kisasi eti unamkomoa mwanamume.

Wanaume wengi hawatulii kwasababu zawadi za bikra mliwapa nguruwe wazile, msongo wa mawazo mwisho wake wanakonclude ku eat and run,
ni hayo tuu, wakina dada, msishindane na waume zenu pale wanapokuwa na mapungufu fulani, kwani furaha ya nyumba ni amani na upendo unafuta mabaya yote, lakini kinyume na hapo, utazalishwa na wanaume mbalimbali na wote watakukimbia, utaachwa solemba na kilio cha single mother for 3 or 4 children, na kila mmoja na baba yake. Kisa na mkasa ulishindwa kutumia hekima katika maisha yako, uliyaona makosa ya mwenzio ulisahau wewe uligawaga bikra kwa scopion.

eboooh.
 
Hakuna kitu kibaya kama anayejiita mwanaume kushindwa kuandika vizuri utafikiri mtoto wa chekechea.
Anyway hao wanawake wanajitoa hizo bikra? Wewe mtoa mada ulioa ukiwa hujafanya mapenzi hata mara moja? Mbona unabebesha mzigo mwanamke tuuu?
Ndoa ni zaidi ya bikra kijana.
 
wanachama wengi sana humu ndani wanashida katika uandishi wao napata shaka sana uwezo wenu wa lugha,mnatia aibu sana..!!kama huyu mwandishi wa hii mada sio yale makosa ya bahati mbaya bali ni dhahiri kuwa hajui kutofautisha "l" na "r"
 
Bikira sio kwa wanawake tu!
Bikira maana yake ni mtu ambaye hajawahi kufanya mapenzi. (bila kujali jinsia)
Kutokana na tofauti za kimaumbile, mwanaume huonekana hana hatia kuliko mwanamke wanapokosa ubikira.
-kila mmoja anapaswa ajitunze kabla ya ndoa.
 
Hakuna kitu kibaya kama anayejiita mwanaume kushindwa kuandika vizuri utafikiri mtoto wa chekechea.
Anyway hao wanawake wanajitoa hizo bikra? Wewe mtoa mada ulioa ukiwa hujafanya mapenzi hata mara moja? Mbona unabebesha mzigo mwanamke tuuu?
Ndoa ni zaidi ya bikra kijana.
povu povu povu! mwanaume na mwanamke ni vitu viwili tofauti.....
 
wanachama wengi sana humu ndani wanashida katika uandishi wao napata shaka sana uwezo wenu wa lugha,mnatia aibu sana..!!kama huyu mwandishi wa hii mada sio yale makosa ya bahati mbaya bali ni dhahiri kuwa hajui kutofautisha "l" na "r"
tofautisha wewe basi,mkuu...
 
halooo kuna siku nilisikia redioni huyo mdada aliyeolewa kwenye fungate akamuambia mume wake,"kwa hiki ki lady finger ndoa imeisha leo usiku".

sasa maisha haya ata ile bikra huwezi ukaipata. utaishia kukuta milango yote ishafunguliwa na ukisema ukatafute mlango utakao fungua wewe sio ajabu ukafungiwa na mlango wa segerea na baada ya masika 30 ndo utoke.
 
Na wenye tabia ya kurukaruka mtoa mada ni mmoja wao. Unadhan watu wanaolewa au kuoa kwa sababu ya ubikra.
Ni mawazo ya chini sana, na hii ni kutoka na ufahamu mdogo wa mleta mada.

Enzi zetu mtu kama huyu humruhusu kuzungumza chchte mbele watu kwenye ufahamu.

Mleta mada ameongea as if amegombana na mwanamke mwenye tabia alizozianisha.

Ushauri wang u rudi kajipange upya vingevyo utakuwa umeanika ujinga wako.
 
Back
Top Bottom