naliwe
JF-Expert Member
- Feb 17, 2013
- 409
- 987
Fikilia wakati unamtokea mke wako ulimkuta yuko kwenye love na mwanaume mwingine mbaya zaidi ukampora jamaa,vile vile katika mastory na wife wako anafunguka na kukwambia wanaume aliotembea nao sio chini ya kumi ina maana ni zaidi ya hao alafu eti Leo hii unasikia mkeo kachepuka au umekuta SMS ya utata kwenye cm yake unachanganyikiiwa hahaha utafikili ulimuanza wewe,
Mlio kwenye ndoa ebu jaribuni kulifikiria na hili maana tulio weng humu tumeoa wake za watu
Wivu nilishaachaga zamani
Mlio kwenye ndoa ebu jaribuni kulifikiria na hili maana tulio weng humu tumeoa wake za watu
Wivu nilishaachaga zamani