Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Kwa kweli inahuzunisha sana, umemkuta mke wa mtu kazini, kwanini ujenge nae mazoea nje na mambo ya kazi? Eti mnakula pamoja amekuwa mke wako huyo? Naongea na wewe babu huna haya unajifanya...
6 Reactions
15 Replies
292 Views
Jamen wadau ogopen sana wake za watu ni sawasawa na kuchezea moto ukidhan hautakuchoma. Jamaa mmoja hapa kitaa saiv anaokota makopo na...
1 Reactions
4 Replies
141 Views
KARIBUNI KWENYE HIKI KISA CHANGU NA HUYU DADA. Way back miaka ya 2013 nikiwa bado nipo skul, kijijini kwetu walihamia watu wa familia moja wakitokea mkoa mwingine wakaja hapo kijijini kwetu mkoa...
0 Reactions
2 Replies
168 Views
1. "Uko wapi?" (The Tracking Syndrome) Kisaikolojia: Mwanamke huuliza kwa usalama, lakini mwanaume husikia kama anafuatiliwa au haaminiki (distrust). Ushauri: Badala yake, sema: "Natumai uko...
10 Reactions
27 Replies
802 Views
Ugonile, sijajua ni kwangu tu au namna gani vipi. wanawake naokutana nao sikuiz wananuka midomo ni balaa, yani kila napojiambia hii Pisi ni kali na imenyooka sana siwez kuiacha iviivi nakutana na...
15 Reactions
97 Replies
951 Views
Kuna mada inazungumzwa redioni mapenzi ya upande mmoja ambao unangaika na upande mwingine Ambapo kuna wakati katika mahusiano wewe na mpenzi wako mnafikia kipindi hakutafuti mpaka umtafute wewe...
7 Reactions
58 Replies
14K Views
Mimi ni mwisilamu,nina wachumba wawili,na wote nataka niwaoe wote kwa pamoja kwa mpigo. Je ni halali ndugu zangu katika imani? Aslam aleykum
7 Reactions
91 Replies
908 Views
Ni upumbavu mtupu usiona manufaa.ni hasara tup na kupotezeana mda. Bora tutafte ela itupende maana mapenz n uzushi usiokuwa na manufaa kiroho.bora nimpende Mungu tuh maan yy ndio anayenijal.
6 Reactions
32 Replies
366 Views
Hizi siku mbili tatu naona kidogo niwaletee mada za mahusiano tujadili sisi watu wazima. Suala la kuchepuka kwa kawaida ni uhalifu ndiposa wanaofanya hivyo hutakiwa kufanya kwa kificho (sichochei...
9 Reactions
48 Replies
798 Views
Umemnunulia simu mpya, atafurahi na kukushukuru, But guess what, ataipiga factory reset au kwenda kwa fundi kuiflasha kabla ya kuanza kuitumia
1 Reactions
1 Replies
86 Views
Hello. Dear Ladies. Nahisi hili Tatizo wengi wenu hamjijui kwa sisi Tunaobahatika kutembea na wanawake tofauti tofauti kuna hadha moja wengi Tunayokutana nayo. Harufu kali sehemu za siri...
12 Reactions
44 Replies
801 Views
Jana tulibishana sana na washikaji zangu wanne kuhusu hii ishu watatu walikuwa upande wa Russia, na si watu wa kawaida wameishi na kusafiri katika nchi nyingi tu ulaya,Marekani,thailand ,mongolia...
2 Reactions
7 Replies
214 Views
NB: Maslahi ya uzi; Hii mada nimeombwa niiandike na mdau wa hapa JF ambaye ni mwathirika wa muda mrefu lakini sasa anaendelea vema Yeye ni shoga kwa ajali na mkewe ni msagaji kwa ajali pia...
18 Reactions
170 Replies
7K Views
Mbona wengine tunaishi nao na tena ndiyo wanatupa Mawazo mazuri ya Maisha huku tukibarikiwa nao zaidi? Hivi Wanaume wenzangu tukiwa tunawahukumu hawa 'Single Mothers' kuwa hawafai tena, wana tabia...
14 Reactions
79 Replies
1K Views
Juzi kati hapo kuna sister moja tulisoma naye alicheki kuomba ushauri kuwa mume wake amekuwa akimbaka. Kiukweli nilishangaa, mume anawezaje kumbaka mke wake, inakuwaje? Nilimuuliza kwa mshangao...
21 Reactions
406 Replies
3K Views
Wanawake wengi ila sio wote hasa hawa walionenepa na vibonge wakivua wanakuwa wabovu sana ile mibonde, akivua ile bra ziwa limendoka na ule mtumbo ahh Ila it depends on size na figure, kuna hawa...
47 Reactions
231 Replies
6K Views
Katika mahojiano yake na wasafi MZUNGU huyo ameoneshwa kukerwa na tabia ya mademu wa bongo kuomba omba hela, MZUNGU huyo amedai ni OMBA OMBA sana, katika kipindi CHA wasafi the switch, akiwa na...
27 Reactions
425 Replies
4K Views
KABLA HUJAMUOA SINGLE MOTHER JITAHIDI MJUE ALIYEZAA NAYE. KAMA AMEKUZIDI KIPATO SITISHA MAHUSIANO HARAKA. SABABU NI HIZI; Anaandika, Robert Heriel Mtibeli 1. Kwa Sisi Watibeli Tunaoa wanawake...
8 Reactions
40 Replies
786 Views
Sociopath ni mwendawazimu au mtu asiye na utimamu wa akili yake kufanya kazi sawa sawa kutokana na kuathiriwa na changamoto za kimaisha kama stress, ugumu wa Maisha, madeni, malezi mabovu na...
39 Reactions
180 Replies
9K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…