Kama Mlivyoona Kwenye Kichwa Hapo Juu Nataka kushea Story ya Maisha YANGU Kidogo Kama watu mtapata namna ya Kujifunza au kuburudika sawa Tuu.....ila story Ni ya kweli lakini Nitaichakachua kwa...
Mwaka flani nlienda Tanga kikazi. Nikakaa mwezi na nusu Hotel. Nilifanikiwa kupata mtoto mmoja mkali wa Kidigo. Sura nzuri kifua kimevimba hakuwa sana na Tako lakini si haba alikuwa akijua mahaba...
Usije ukamwaga mpaka nikuambie 😭
Hii nikauli nliyokua naambiwa namkewangu mwaka 2025 lakini yote kwa yote tuliachana
Kwa Sasa nibora nizae na mtuu kuliko kuoaa 🙏.
Je ulishawahi ambiwa hii kauli
..............UTAFITI ............ Nimefanya utafiti nimegundua kwamba,
Kuoa siyo jambo jema kwani kuoa ni kumleta mtu nyumbani kwako
Aje kula pesa zako halafu azae marafiki zake...
Uzi huu nimeuandaa baada ya kusoma post flani inatrend jukwaani muda huu kuna dada yetu anahisi mme wake anatumia ushirikina kujua mawasiliano yake ya watu anaoongea nao, Huenda ni kweli lakini...
Hawa kataa ndoa ni chama cha waliofeli kwenye ndoa.
Wanadanganya watu ndoa ngumu ili watu waogope kuoa na kuolewa.ila yote n uongo ndoa hazifanani huwez jua bahati yako.
Jana nilikutana na binti mmoja. Kwenye 1&2 zakutafuta Wife material.
Tukabadilishana namba na usiku tukachati mpaka kama saa sita au saa saba. Mazungumzo yalikuwa yakawaida sana tu
Mambo poa...
They are built by two people who choose to give up on each other because love is not about who texts first or who wins every argument....🤗
Love is about staying, understanding, forgiving and...
Nimepost hapa hapa, Friendship connect (tuunge urafiki) tafadhali!
Je umezaliwa tarehe zifuatazo 👇 kama jibu ni 'Ndio' karibu tuunge urafiki?
👉 Mei 21 hadi 31,
👉 Juni 1 hadi 20,
👉 Novemba 22 hadi...
Habari wakuu
Natafuta mke wa kuoa
Sifa zangu
Elimu: Bacherlor degree of computer science
Location: Dar es Salaam
Umri : miaka 33
Kazi: Developer
Dini: catholic
Sifa za mwanamke ninayemtaka...
Tafadhali usijione kijogoo kuibuka na single mother bila kujua sababu ya mtangulizi kusepa. Single mother wengi wanaficha mengi. Jiridhishe kabla ya kuvamia mtumbwi wa vibwengo. Tumezika wengi kwa...
Wakuu,
Mnaendeleaje na hali?
Nina rafiki yangu amenielezea kuwa kwenye mahusiano yake mtu alie nae ni wabaridi mno na yeye ni wa moto
Na haijawahi kutokea mambo yakabadilika always ni hivyo...
Jambo watanzania
Iko hivi,kuna office moja ya umma nafuatilia huduma flani flani,sasa bana toka day one nafuatilia ile huduma kuna bibie mmoja tulikutanisha macho yetu,sasa wakati niko kwenye kiti...