Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Ewe kijana wa kiume wa karne hii Acha kujidanganya kama unapendwa huyo mwanamke uliyenaye hakupendi ila anakusanifu sababu mambo yake bado hayaja nyooka.......... mwanamke siku zote akiwa hana...
19 Reactions
58 Replies
3K Views
Ukiona uko lwenye mahusiano ya aina hii amsha akili zako Kuna watu kwenye ndoa hawajui kuomba tendo la ndoa yaan mpaka useme wewe naomba Kamwe hutaona wakisema can I make lve Hawa wao n kuombwa...
3 Reactions
2 Replies
237 Views
Hii ndio siri yangu ya mapenzi nimo JF kitambo ila nimeamua kuja kiufiche ili nipate kuwa huru Mimi ni kijana(Me) eary 20 na sijafikisha 22 bado, Sijawahi Sex kabisa hili ni moja ya jambo ambalo...
15 Reactions
108 Replies
4K Views
Wakuu naombeni ushauri wako, sijui nifanye nini. Mimi ni binti wa miaka 23, nipo chuo mwaka wa pili naingia watatu. Naomba ushauri wako, mwaka jana nilikuwa na mpenzi wangu, ni mwanafunzi...
10 Reactions
83 Replies
4K Views
Kwa anaehitaji ancheki Msiogope sio tu nguo za mtumba hata condom zipo za bei poa Cya Zina lazy nzuri kama mpya
1 Reactions
3 Replies
528 Views
Habari zenu wapendwa,Poleni na kazi au shughuli tofauti tofauti. Niko Arusha and natafuta marafiki both wanawake na wanaume.Sijali umri ila napendelea watu smart kichwani yaani intelligent...
6 Reactions
42 Replies
3K Views
Mwanaume aliyekamilika lazima apokee meseji inayo sema " mamb" walau mara 4 kwa Siku kutoka kwa watoto wa kike. Mimi kwa Siku napokea zaidi ya mara 7 kutoka kwa wasichana 7 tofauti. Na wewe...
24 Reactions
134 Replies
5K Views
Hivi inakuaje ume-meet na a person mna connection nzuri and mka have a good time and great sex . Then all of a sudden kesho yake hakutafuti tena na hata ukimtafuta anakuwa amebadilika yani ile...
10 Reactions
83 Replies
4K Views
Huyu Emmy ni mara ya tatu sasa anataka kuja kwangu. Tulizoeana miaka mi3 hivi nyuma. Kipindi hicho maringo kama yote kunitolea nje. Leo hii anaforce kuja, kuna nini? Nimempiga chenga wee mpaka...
5 Reactions
57 Replies
2K Views
Habar wakuu huyu mke nimfanyaje nimetoka kumnunulia nguo mama yangu mzazi kama zawad na mke nae nilimnulia..Sasa chaa ajabu ametokwa na maneno ya dharau nakejeli juu ya zawad niliomnunulia mama...
29 Reactions
99 Replies
4K Views
4 Reactions
14 Replies
729 Views
Daaah wanangu, Mwenzenu niko Hoi hapa Nilipo! Sina Usingizi, wala Siwezi hata Kula. Nimekuwa Fara Kinyama Kisa Mapenzi. Ngoja Niwape Hii stori kwa Ufupi. Kuna Dem mmoja, nilikutana Naye...
20 Reactions
106 Replies
9K Views
Suala la kuliliwa nalishuhudia kwa wenzangu tu, umri sasa unanigongea hodi lakini mpaka sasa sijabahitika kukutana na mtoto shombeshombe au tipwatipwa aliyejaribu walau kutoa leso yake na kufuta...
8 Reactions
98 Replies
8K Views
Kwa zaidi ya miezi 5 nimepewa shoo mara tano wastani wa kila mwezi mara moja na hata shoo nikipewa inakuwa chini ya kiwango tofauti na muda tulikaa bila kufanya... najionea mauza uza.. Sasa basi...
11 Reactions
45 Replies
3K Views
Posa ni kwenda kujitambulisha nyumbani kwa binti unataka kumuoa, Mahari ni mali / pesa ambayo muoaji ataitoa. Inaweza kutokea Mwanaume kashatoa posa / mahari, mategemeo ya ndoa yanakuwa makubwa...
5 Reactions
27 Replies
2K Views
Ni ipi nafasi ya mitandao ya kijamii kwenye mahusiano, uchumba, na ndoa hata paibuke ugomvi, kutoelewana, kutengana, au vurugu baina ya wapenzi au wanandoa kwa sababu tu ya kuposti picha, ku-view...
6 Reactions
31 Replies
1K Views
Ndugu kwa masikitiko makubwa naandika Sijui wanawake wa kaskazini wanaume zao waliwakosea nini, kiasi cha wanawake kuwapeleka mbio mbio na kuwanyanyasa wanaume zao Wana mfumo dume uliobakia...
25 Reactions
82 Replies
5K Views
It is just me and my bro in my family. We grew up together went through the same schools ingawa amenizidi 2 years. Alivyomaliza 0-level akaniacha kwenye hiyo shule. Akawa anataka kwenda another...
18 Reactions
336 Replies
57K Views
Hakuna ubishi unapoomba kazi moja ya sifa na kigezo kinachozingatiwa ni uzoefu wa kazi how long you work for the position?una yafahamu vyema majukumu yako na kuna impact gani umeifanya katika...
0 Reactions
12 Replies
689 Views
Ndugu zanguni wa JF baadhi mtaniwia radhi wale ambao hawa tapendezwa na hulka yangu hi. Nimeka na mke wangu sasa takribani miaka 11 baada ya ndoa ya kwanza kushindikana, huyu mke wangu nyumbani...
38 Reactions
213 Replies
18K Views
Back
Top Bottom