Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Kwa mfano mtu anakupenda kabisa na anaonyesha kweli anakupenda na wewe huna muda nae utafanyaje? Yaani anakujali na muda mwingi anakuwa anakuhitaji muonane ila wewe moyo wako haupo kwake...
4 Reactions
10 Replies
427 Views
[emoji24][emoji24][emoji24]Siku zote maumivu ya mapenzi, huwa ni zaidi ya maumivu ya kitu kingine chochote kile... Yaani haya ni zaidi ya maumivu... Ama kwa hakika... Kwani haya ni maumivu ambayo...
4 Reactions
18 Replies
8K Views
Dear tatian, You know that I love you, Am there for you. Will never disrespect you forever and ever Your are a good wife and you know how much I love you Going to your birthday December month...
5 Reactions
90 Replies
3K Views
Habari wenzangu. Jamani ukweli nimebaini mke wangu anamatumizi mabaya ya simu, nilikutana sms yeye anasema ni rafiki yake ila mie sikuipenda kwa hio nikakosana naye akaenda kwao nami nikabaki...
17 Reactions
122 Replies
11K Views
Habari wanaJF. Niende kwenye mada, kumekuwa na misemo humu kuwa wanawake wanapenda mwanaume smart, mcheshi na mtundu na sifa kede kede. Kwangu mimi ni tofauti kabisa, kwanza sina...
10 Reactions
215 Replies
13K Views
Kiukweli mpenzi wangu nilimpenda bali nilikuwa mbali naye. Ila nilichogundua sikuwa serious basi Leo kaenda na kilichoniponza ni kuwa humu nachat chat umbea, na umbea huu umeniharibia penzi la...
9 Reactions
50 Replies
4K Views
Si vibaya tukashirikishana na kukumbushana haya masuala kwa sababu ni jambo la kawaida katika maisha na ni jambo pendwa Sana baada ya pesa. Ukiona kilichosahaulika ongeza cha kwako KABLA YA...
24 Reactions
92 Replies
27K Views
Kuna siku humu kuanzia asubuhi mpaka jioni ni nyuzi za kutendwa tu. Wengine usiku...wanakuja na kataa ndoa. Ni mwendo wa kupigana matukio tu. Lakini tupo sisi tunaokula utamu wa mapenzi. Tunakula...
26 Reactions
70 Replies
3K Views
Kwema Wakuu! Andiko hili ni mahususi Kwa MTU mwenye umri wa miaka 18 kuendelea. Chini ya hapo asome Chini ya uangalizi wa Wazazi. Kutembea na Wanawake wengi kunakufanya uchukulie Sex kama...
13 Reactions
49 Replies
14K Views
Aisee nimejaribu kuwaza kwa sauti kuhusu hii kitu wanazengo. Duniani Hakuna kitu kinachompa mwanaume Raha Kama short ya kwanza wakati wa sex.Hapa ndo unaskiaga mwanaume anatoa ahadi ya kumnunulia...
20 Reactions
87 Replies
8K Views
Habari zenu, Wanaume wengi wamekua na tabia ya kulalamika na kupigwa mizinga na wanawake. Wengine wanalalamika sana eti wanawake wanapenda sana kutangaza shida and blablabla.. Sikiliza bro...
6 Reactions
29 Replies
4K Views
Katika hali isiyo kuwa ya kawaida bwana Johannes aliipigiwa cm na rafiki yake wa kike aje kujumuika katika sherehe yake. Lakini alipofika alikuta ni sherehe ya wadada watatu tuu ambapo yeye...
13 Reactions
65 Replies
5K Views
Kutokana na umri wangu wa kukaribia kuwa mzee, nimeamua kuwa bize na mambo ya Mungu, pamoja na kutofanya matumizi yasiyokuwa na tija. Changamoto inakuja kwa michepuko yangu miwili; mmoja ana...
7 Reactions
48 Replies
4K Views
Sabal kheri waungwana. Nyakati fulani nilikuwa kwenye kijiwe kimoja tukibadilishana mawili matatu ya maisha na changamoto zake na kuangalia namna gani tunazikabili. Katika maongezi hayo...
5 Reactions
15 Replies
1K Views
Ni kijana mdogo tunafahamiana kazini, Hunitazamia kama kaka yake na pindi anapokuwa kwenye changamoto kadhaa za kimaisha hupenda kunishirikisha Kijana kaoa binti nisingependa kulitaja kabila lake...
28 Reactions
151 Replies
7K Views
SABABU YA MKEO KUJIACHIA AKIWA KWA MCHEPUKO LAKINI KWAKO ANAJIBANA NA KUKUPUNJA. Anaandika Robert Heriel Mtibeli Anajibana na kukubania! Anakuletea pozi na Kukupunja! Hajitumi na anakuwa Mvivu...
15 Reactions
41 Replies
4K Views
Maisha ya kileo wapo wengi wanajuta Kwa sababu ya maamuzi waliofanya wakati wa kuoa ila Sasa hakuna namna ya kufanya kwani walishazaa watoto inawabidi waishi maisha yaende basi. Wanawake wengi wa...
30 Reactions
64 Replies
3K Views
Wakuu, Kuna Binti mmoja mrembo kuna siku natoka mazoezini nikamfuta bhana nilimuona Akanivutia nikaomba namba akanipatia Akanitajia majina yake tulivyowasilina Nikamwambia ninahisiana naye akawa...
10 Reactions
49 Replies
3K Views
I dare to post thread openly..... mi ndio MCHUNGUZI HURU Wadau huu ni uchunguzi wangu binafsi: Nimegundua kuwa wanawake wa Ushuani kama vile Masaki, Mbezi Beach n.k hawana MAKALIO MAKUBWA SANA...
5 Reactions
147 Replies
54K Views
Kuna mdau mmoja umeuliza kwamba mwanamke amepata kazi marekani yenye maslahi makubwa na mume wake amemuuliza utachagua kipi kati ya mimi au hiyo kazi yako? Soma maoni ya wadau(wanawake) aisee...
2 Reactions
6 Replies
676 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…