jamani kuna connection yoyoyte kati ya Mungu na Binadamu wakati wa sex
nauliza hili kupata msaada nimeona wanawake wengi kipindi cha ujana
wakifikia mjengoni wanaanza my god my god my god...
kuna wakaka wawili aged between 30-35yrs old, mmoja yupo home na wazazi wake yaani yupo chini ya uangalizi wa wazazi, mwingine anajitegemea,anaishi peke yake, wote wanafanya kazi yenye kipato...
Nimepitia site moja ya wakenya nikakutana na hii topiki hebu check hivi vimbwanganyoso
.......It happened when i was at ushags,i met this girl at kauchochoro well i mean porini,we never arrenged...
Najiuliza sipati jibu kuna Mama mtu mzima yeye anapesa za kutosha nilikutana naye kwa maswala ya biashara natukamaliza biashara lakini kwa sasa simu zimekuwa nyingi mpaka namwambia nipo safari...
Yawezekana we ni mmoja wa wanaojiuliza maswali haya kutokana na mwamko mpya waliouanzisha wanakaya ama maboss wetu hasa wanapotoa ajira..jamaa yangu ameoa mke secretary wa kampuni moja maaruf sasa...
Nina rafiki yangu na alikuwa katika mahusiano na dada mmoja ambaye wakati huo alikuwa na boyfriend wake ila bado walikuwa hawafikia kuwa wachumba,pia rafiki yangu huyu nae ana mwanamke wake ambaye...
Umempenda demu! Umemtokea ! Kakupa Big YES, Unapiga naye romance za kufa mtu! bila ya kufanya tendo la ndoa unampeleka au unaagana naye anaenda zake, kwa kukuahidi kesho ndiyo mpambano wa gemu la...
Wives who claim their husbands should help out more around the house because women work a "double shift" at the office and in the home are misguided, according to research.
If both...
Leo nimepada kwenye daladala nikawa nimekaa siti ya nyuma kabisa ile ya watu watano (5),kuna wadada watatu wakawa wanasimuliana inavyoonekana yule mmoja ndiyo yaliyomkuta.alikua anasema alikutana...
It's wondrous what a hug can do,
A hug can cheer you when you're blue.
A hug can say, "I love you so.",
Or, "Gee! I hate to see you go."
A hug is, "Welcome back again."
This Hug Is Meant For...
Nimekuwa nikiongea na marafiki zangu na wengi (mademu) wamekuwa na maoni kuwa wanaume ambao hawajaoa ni wachafu ukicompare na waliooa kwa kurefer observations zifuatazo;
i) Wanaume wengi ambao...
Wana JF
Hivi mwanamke kaumbwa kutokana na Udongo au Ubavu wa Mumewe?
kama ni Udongo mbona hawana utii kama ule waliopewa viumbe viumbavyo kwa udongo,
na kama ni Ubavu wa Mume mbona hawana...
Ulishaona mtu ambaye kashindikana ( mke au mume) lakini akafika mahali akawa mpoleeee! Mnadhani inawezekana vipi? hakuna mzizi wala hirizi hapo!
Kazi kwenu!
Haya wapenzi wa shangilia ushinde
nimerudi tena leo hii wacha tujiweke sawa na mambo yetu..wapo wengi wanapenda kuoga baada ya kufanya mapenzi lakini kuna mada moja imeongelewa sana tangu asbh...
Inasemekana mwanamke asiepata kichapo kizuri cha chakula ya wakubwa mara kwa mara huwa bitter........kama umewahi kufanya kazi chini ya Boss mwanamke au unafanya kazi na wanawake ambao hawapati...
Hili swali najiuliza bado hivi ni kwa nini wanandoa sijawahi kuwakuta guest lakini kila nikifika enzi hizo nakutana na wezi wa ndoa ama wezi wa wachumba wa watu......bado najiuliza hivi nitamzaa...
Yawezekaana unajiuliza nini hiihii ni sehemu ya malavidavi iko kunduchi hakika ni kama kijiji lakini ukiingiakwa ndani ni mabenzi basikeli bajaji zinawaleta wake za watu kwa ajili ya hukumu...