Wanaokimbilia guest ni tamaa ama starehe | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanaokimbilia guest ni tamaa ama starehe

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Pdidy, Aug 4, 2010.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Aug 4, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,520
  Likes Received: 5,752
  Trophy Points: 280
  Hili swali najiuliza bado hivi ni kwa nini wanandoa sijawahi kuwakuta guest lakini kila nikifika enzi hizo nakutana na wezi wa ndoa ama wezi wa wachumba wa watu......bado najiuliza hivi nitamzaa zinazowapeleka kule ama ni just wanahisi wakifanyia kule wanastarehe zaidi..nasema hivi kwa maana utakuta mtu ana mchumba wake na anachumba cha kupanga anadai kwenye chumba changu uwezzi fanya mapenzi itandani mwangu nikauliza siku moja mtu moja sababu nini nini oooh akiniacha wengine wanakuwa na maroho yao machafu ya kuacha ovyo bora akaniachie guest nikja kusema awa watu wa guest inawezekana kila siku ndio wasababishaji wa ndoa za watu kuvunjika ili wapate wateja...anyway kama ana roho kitendo cha kumvulia ch&&** ushatoka nazo hizo roho haya kazi kwako
   
Loading...