Why People Say "Oh God!.. Oh God" Ooooohh During Sex | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Why People Say "Oh God!.. Oh God" Ooooohh During Sex

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Pdidy, Aug 5, 2010.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Aug 5, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,466
  Likes Received: 5,708
  Trophy Points: 280
  jamani kuna connection yoyoyte kati ya Mungu na Binadamu wakati wa sex
  nauliza hili kupata msaada nimeona wanawake wengi kipindi cha ujana
  wakifikia mjengoni wanaanza my god my god my god myyyyyyyyyyyyyy
  kwa nini wasiseme my satan mysatan my satan
  kinachonishangaza uwe kwenye ndoa na wasio kwenye ndoa wakifika mjengoni wanapiga hodi ya ohhh god oooh god ooo myyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyy
  (gafla linatajwa jina husika eg phtntom) mmh sijajua huu uusiano ama wakiwa huko wanahisi kama wako mbinguni

  wakina dada tupeni siri jamani yawezekana ikawa njia nyinginr na ssisi wanaume kuenjoy kama tuko mbinguni sio nyie pekee yenu ...kwenu mabinti wa JF
   
 2. Lady N

  Lady N JF-Expert Member

  #2
  Aug 6, 2010
  Joined: Nov 1, 2009
  Messages: 1,919
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  sex ni paradiso ya duniani
   
 3. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #3
  Aug 6, 2010
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,691
  Likes Received: 82,570
  Trophy Points: 280
 4. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #4
  Aug 6, 2010
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,219
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Mnamsingizia tu Mungu. Tatizo pia mnaangalia sana pono. Kati ya wanawake wangu wote waliovuka kizingiti cha mlango wa maskani ana nyumba ya wageni sijawahi kusikia hiyo kufuru
   
 5. T

  The Lady Member

  #5
  Aug 6, 2010
  Joined: May 22, 2010
  Messages: 54
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Even some men do... it just depends bana. Ni moja kati ya njia za kufurahia
   
 6. DaMie

  DaMie JF-Expert Member

  #6
  Aug 6, 2010
  Joined: Mar 24, 2010
  Messages: 686
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Jina la mume wangu ni Godson, hivyo ninapofika kileleni najikuta nikiita god god god m mmmmmm goddd, sikufahamu kama wengine wanaitwa god kwa maana ya Mungu. Ha:hippie:ta hivyo ni starehe waweza ongea chochote kwa raha zako.

  Bi dada
   
 7. funzadume

  funzadume JF-Expert Member

  #7
  Aug 6, 2010
  Joined: Jan 28, 2010
  Messages: 6,480
  Likes Received: 2,077
  Trophy Points: 280
  kwenye 6x6 kuna vituko vingi sana kuna wengine wakipandwa na mzuka wanatukana matusi ya nguoni kwa wazazi wako na wake
   
 8. Ambassador

  Ambassador JF-Expert Member

  #8
  Aug 6, 2010
  Joined: Jun 2, 2008
  Messages: 932
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Did you know there are different types of orgasms?

  -The positive orgasm: "Oh yes, Ohh yesss, OH YESSSS!"

  -The negative orgasm: "Oh no, Ohh nooo, OH NOOO!"

  -The spiritual orgasm: "Oh god, Ohh goddd, OH GODDD!"

  -The fake orgasm: "Oh Samson, Ohh Samson, Oh
  Samson!!!!!

  -The Indian Classical Orgasm : 'Nahi Nahiiii Nahii....'

  -The Rock 'n' Roll orgasm : 'O Baby, O baby.... O baby'

  -The Heavy Metal Orgasm : 'Cmmon Honey, Go Samson, Yeah Baby,
  Deeper Honey,Cominbaby, EEEEaaahh, EEyyyeEAAh, Yeeeaah..

  -The instrumental orgasm : 'Ooonnnh, ooOOONNNNh, eAAAAaoOOhh'

  -The Alternative Orgasm : 'O Shit O **** OShiiit O **** ohShhhhhiiit...'

  And Finally...

  - Traditional Orgasm : Aiyooo Aiyooooooooohhh
  wuololooooo... maiyooooo.. thoo... kanyo... beeebiii....
  kanyo
  oongoiiiiiiiiiiiimisiiiiiiiiiiiiiiiing....mamingala...thugul..e
  ..timbilil... uuuwiiii...
  munduuuuuuuuu...mtamannnnoooooo..sanaaaaawe
  kaikaikai....obeeeeeeeeeeee...naaaaaaaaaakure.....gakiiiii
  nousuuuuuuuuuu..... nobaaaaaaaaaa.......keiiiiiiiiii...
  nedirokaaaaaaaaa.... weeeeeeeee.....meeeeeniiiiii...shioka
  nadhudha.... wo....wo....wo..wooooo.....solo......mio.....
   
 9. Easymutant

  Easymutant JF-Expert Member

  #9
  Aug 6, 2010
  Joined: Jun 3, 2010
  Messages: 2,570
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  Thenk you sana ...Ya kihindi imenivunja mbavu:smiling:
   
 10. Mapondela

  Mapondela JF-Expert Member

  #10
  Aug 6, 2010
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 457
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  mwenzetu anastahili sifa kazifanyia utafiti zote hizo. Mh............
   
 11. Sajenti

  Sajenti JF-Expert Member

  #11
  Aug 6, 2010
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 3,673
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  ..Ah! kuna mmoja niliwahi kumsikia honeeeeyyyyyyy Ohooooohhhh!!! na huuuukuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu!:bored:
   
 12. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #12
  Aug 6, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,333
  Likes Received: 22,181
  Trophy Points: 280
  Utapeli mtupu umewajaa.
  Unatenda dhambi halafu unamtaja mungu.
  Ptuuuuu natema mate chini kuiepuka laana hii.
   
 13. Ambassador

  Ambassador JF-Expert Member

  #13
  Aug 6, 2010
  Joined: Jun 2, 2008
  Messages: 932
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Ulimsikia wapi mkuu?
   
 14. F

  Fanta Member

  #14
  Aug 6, 2010
  Joined: Aug 4, 2010
  Messages: 72
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kama wote mnapendana, sio usanii
   
 15. Lutala

  Lutala JF-Expert Member

  #15
  Aug 6, 2010
  Joined: Jun 17, 2010
  Messages: 845
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Kwa ujumla hakuna fomula ya kushangilia ushindi kila mtu kivyake vyake ...........
   
 16. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #16
  Aug 6, 2010
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,691
  Likes Received: 82,570
  Trophy Points: 280
  LOL! Mh Balozi ahsante sana hahahahahahaha
   
 17. Mapondela

  Mapondela JF-Expert Member

  #17
  Aug 6, 2010
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 457
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Si dhambi kama unafanya na halali yako. Ni jambo mungu kaliweka na ndio maana kuna sehemu zake kaziumba za kutumia ukiafanya jambo hilo.
   
 18. Da Womanizer

  Da Womanizer JF-Expert Member

  #18
  Aug 6, 2010
  Joined: May 24, 2010
  Messages: 1,561
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  :pound::pound::pound:
   
 19. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #19
  Aug 6, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,466
  Likes Received: 5,708
  Trophy Points: 280

  yaaani kwa proffession hii ushafika paradiso yaani we hapa nchini ni ambassador wa paradiso...sijui paradiso ipi unaisubiri

  hivi na kama jina lako god ndioooo oooooh goood oooh godgod oooohh goodgggoooooooooooooooooooooshhhhhhhhhh
   
 20. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #20
  Aug 6, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,466
  Likes Received: 5,708
  Trophy Points: 280
  the indian classical orgasm : 'nahi nahiiii nahii....'  JAMANI MIE LEO JION SAA 0900 NTAMPA MKE WANGU YA KIHINDI NIMSIKILIZE ATAIPOKEAJE
  MNAKARIBISHWA WAPENZI WA DEO..AAAAHHHH INANIKUMBUSHA MBALI MAMBO YA CHUONI WAKIKUONA NA BINTI DK 10 UKICHUNGULIA KWENYE KADIRISHA KADOGO UNASHANGAA SURA ZA WATU ZINANGANGANIA KUKUANGALIA UTASEMA WANABADILISHA NYAVU ZA MBU SIJUI KAMA HII TABIA IMEISHA
   
Loading...