Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Jijini Harare,Zimbabwe kwa zaidi ya mwaka sasa kumeibuka kundi la wanawake watatu wenye silaha wanaoendesha magari ya kifahari kuwarubuni wanaume kwa lifti baadae kuwabaka kwa nguvu kwa kutumia...
2 Reactions
27 Replies
3K Views
Points On How To Improve Your Life Personality: 1. Don't compare your life to others'. You have no idea what their journey is all about. 2. Don't have negative thoughts of things you cannot...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Kuna wanaume ambao kwa kutokujua wanadhani mwanamke anachohitaji ni ‘fidia’ baada ya kuvunjiwa heshima, hivyo huwa wanawavunjia heshima wake zao na baadae kujitoza ‘fidia’ kwa kuwanunulia zawadi...
5 Reactions
13 Replies
2K Views
Kwa waliotazama taarifa ya habari ya saa 2 usiku ITV waliona taarifa ya binti wa miaka kumi na tatu kujinyonga hadi kufa kwa kamba ya pasi. Ilikuwa ni habari ya kusikitisha sana sana hasa kwa sie...
10 Reactions
31 Replies
4K Views
Nina mpenzi wangu ambaye kanizidi mwaka mmoja tuu, ila kila cku analia na umri wangu kuwa mimi ni mdogo kwake, embu niambie jamani nimfanyeje cause anataka kuniacha, mimi ni kijana wa miaka 27...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Hivi kwa ninyi madada, mawifi, mama wakwe..... Hivi ni kwanini mwanamke mwenzenu anapochelewa kupata mtoto akiwa ndani ya ndoa huwa mnapenda kuwasimanga. Mara mjaza choo, anakula vya mwanao/kaka...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Hii video ina majotro Kukatika, malavidavi na kunengua huanziaga utotoni!
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Nimewahi kuja mbele yenu, kwa heshima zote nikitafuta mwanamke wa kuoa sikfanikiwa, narudi tena kujaribu bahati, nikasema ni lazima awe ni mwanamke mzuri, mwenye shape ya kuvutia sana, asiye na...
0 Reactions
29 Replies
4K Views
Habari zenyu mabibi na mabwana najitokeza mbele yenu kutafuta rafiki wa kike sharti awe mkweli kwa kila jambo.Ahsanteni
0 Reactions
6 Replies
3K Views
mume mwema na mke mwema hatoki kwenye forum yeyote ni kwa Yesu pekee..nitafute nikufundishe jinsi ya kuomba kwa ajil ya mume au mke.thax..0712006246
0 Reactions
8 Replies
2K Views
natafuta online girlfriend!
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Nina jamaa zangu wawili ambao wako kwenye ndoa, mmoja ni zaidi ya miaka tisa,lakini hawajafanikiwa kupata mtoto.Japo hawasemi lakini kwa kuwatazama na jinsi watu wanavyonong'ona penbeni...
2 Reactions
27 Replies
3K Views
Ingekuwa inawezekana kurudisha nyuma miaka na ukaweza kurudi mpaka muda kabla hujaoa ama kuolewa; Je ungeoa/ungeolewa? na kama ungeoa/ungeolewa, je ungekubali kuoa ama kuolewa na mwenzi wako uliye...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jana nilipata pm kutoka kwa jamaa yangu akiniuliza,kuna wana MMU humu kama wakifunga ndoa itakuwa yenye kuvutia,lakini pia wapo wengine wanavutiwa na watu humu,je wewe ungependa kama nani...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Hiki ni kipindi ni ambacho wapendanao ukiwaambia wakae kwenye kiti chenye misumari kibao yaliyosimama kuelekezwa juu watakaa bila wasiwasi wowote na pia hawatahisi maumivu ya michomo. Mapenzi...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Poleni na hili sakata la mafuta wanajamiiforums, mimi nna swali moja naomba kuuliza. Hivi uongo una nafasi gani kwenye mahusiano, au ni kweli kwamba wakina dada wengi wanapenda kudanganywa?
0 Reactions
16 Replies
2K Views
This is a true story told by my closest friend. Names have been changed to hide identity since there are people who knows the story This is for my friend, and also for me. I love you D...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Habarini Wana Jf Hili imebidi nililete hapa kulichangia kuona kama kuna ukweli wowote! Leo nikiwa lunch sehemu flani nzuri sana nilikuwa nimeketi karibu na group (nafikiri ni watu wanafanya kazi...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
jamani mwenzenu natafuta mchumba.
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Toa sababu kuntu kutetea jibu lako .
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…