Eti unaweza kusahu kutongoza?

Kibirizi

JF-Expert Member
Feb 19, 2011
604
146
Jamani naomba kuuliza mwenye ufahamu wa kutosha juu ya suala hili, mimi nina muda kama wa miaka minne sijatongoza binti yeyote sasa juzi nilikutana na nikampenda binti mmoja na nikaamua kumtongoza sasa naona kama hanielewi kiurahisi nikahisi nimesahau kutongoza kutokakana na kutotongoza muda mrefu, sasa je kuna ukweli wowote wa jambo hili.
 
Unaweza ukasahau kutongoza kweli, ili kukwepa hilo usiache kufanya mazoezi ya kutongoza!
 
nakupenda.. sababu ni.. matarajio ni.. jieleze kwa kifupi who you are..
jiaminishe kwake kwa nini your right choice to her ..
 
Kwa nyakati za huu utandawazi........wanawake hawependi kutongozwa.....ukimtongoza anakushangaa.........kama si kukuchukia kabisa(maana unakuwa unauweka usiku).wewe punguza maneno mengi kama zamani,weka action zaidi utawapata tu tena mpaka utawakimbia.
 
Nadhan hujasahau ila nao wanatofautiana c kila mmoja utampata kirahis hvo, kuna wengne hawapend kudate kabsaa! May b anamheshmu wake. U never knw bana, ila hujasahau mkuu ulikutana na kisiki cha mpingo.
 
....huwezi kutongoza kwa staili moja..hamna kanuni ya kutongoza we utakavyoingia tu.......kama vp unaweza ukaingia kama ***** ukamwaga mizawadi na misaada kinoma kwao binti
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom