Looh, mke wa mtu ni sumu!

Aug 17, 2009
60
4
Imetokea huku kijijini kwetu Pugu-Majohe.

Mkaka kakatwa vidole vyote vya mkono kwa kula mke ya mtu, mume kakuta sms imeandikwa 'bebi tukutane Kisarawe' na kila siku alikuwa anashuku mawasiliano ya mkewe na mtu aliyemsev 'Mariam', kuja kujaribu namba kumbe siyo Mariamu tena ni Maulid.

Mume kamkata mapanga mwizi wake jamani, ndo kakimbizwa hospital muda si mrefu. Acheni kula wake za watu mtakufa na siku hazijafika.
 
kwahiyo kumkata vidole ndiyo ametibu tatizo? Huyo jamaa naye mpumbavu, kama yeye mjanja akate sehemu za siri za mke wake. Leo kamkata jamaa vidole, kesho mkeo yupo na mwingine na jina kwenye simu ni Anna. Jamaa aliyekatwa vidole ana haki ya kufungua mashtaka dhidi ya huyo mpumbavu, kutokana na jamaa kujichukulia sheria mkononi, isitoshe the victim ana uwezo wa kusema hakujua kama alikuwa mke wa mtu. Hakuna alama inayoonyesha usoni kwamba huyu ni mke wa mtu na huyu siye.
 
Kakosea vidole havina makosa, angemkata *************** ili iwe Mwisho!
 
Ni majiran kwahiyo anajua kwamba ni mke wa jamaa,na jamaa ni mkurya analalamika ndo katoka kulipa ng'ombe 6 na mbuz 15 hata miez mi6 haijaisha,alimtoroshaga sasa alikuwa anavuta kimoja,ila pia yasemekama waiz walianza kula 2nda muda mrefu mwenyewe akawa anatoa onyo ila wakapuuzia,halaf men ni marafiki wa karibu saana,wamewafanya na wake zao wamekuwa marafiki.
 
'Yanin malumbano
yanin manenooo
bora nikae pembeeni
niepushe msongamanoo' -20 PASENTI
 
huo ni upumbavu kesho akimkuta mkewe na jamaa mwingine atakata vidole pia atibu mahangaiko ya mkewe na sio kuhangaika na third part
 
Duu ni fundisho kwa ma-inf ... ingawa kukatwa vidole si kitu cha kufurahisha ...
Nafikiri angemgonga talaka tu, maana huyo mdada kama ni tabia hawezi kujirekebisha kwa hilo tukio.
 
picha yenyewe fupi,niltegea kusikia kamkuta ana nesanesa nae kumbe sms..mpuuzi sana na hayo ni madhara ya bange.
 
Hiyo adhabu imeenda shule; nafurahi saaana hawa vibaka wote me na ke wakishughulikiwa. Na sinaga huruma wala kutafakari eti sijuhi angefanya hivi angefanya hivi; mtu chake bwana; na cha mtu mavi.
 
Ni majiran kwahiyo anajua kwamba ni mke wa jamaa,na jamaa ni mkurya analalamika ndo katoka kulipa ng'ombe 6 na mbuz 15 hata miez mi6 haijaisha,alimtoroshaga sasa alikuwa anavuta kimoja,ila pia yasemekama waiz walianza kula 2nda muda mrefu mwenyewe akawa anatoa onyo ila wakapuuzia,halaf men ni marafiki wa karibu saana,wamewafanya na wake zao wamekuwa marafiki.

Hilo jambo lingetokea kwangu japo siombei, na hata kama jamaa ni jirani au rafiki, nisingethubutu kupambana naye, bali nitapambana na mwanamke. Unless kama mwanamke kanipa taarifa kuwa fulani ananisumbua, hapo naweza kupambana naye kwa mujibu wa sheria, japo lazima nitamtia adhabu kwanza.
 
nikiwa 4m4 mwalimu wetu wa agriculture alikamatwa na mke wa mtu naye akapakwa mafuta na kuliwa kinoma yani .......habari zikasambaa kitaa chote hadi skul mwalimu akawa kila akifundisha akigeuka watu minong'ono inazidi basi yy husema najua mnachofikiri ila haikua ivo ............badae alihama skul
 
Huku ni kujisahau..maadhara yale ndo hayo. Kazi za nje nazo zinahitaji ujuzi na umakini....maswala ya beib na nini na nini yanatoka wapi wakati unajua huyo unaewasiliana nae ni mke/mumbe/mchumba au GF/BF wa mtu? hivi kwa mfano angekuta sms inasema tuu hivi.."tukune kisaware" hisia za kuibiwa zingetoka wapi? wanaume pia tuwe makini tunapoamua kuvaa bomu..uwe mwepesi wa kukumbuka tahadhari zote. anyway pole sana kijana na uachane kabisa na wake za watu.
 
nikiwa 4m4 mwalimu wetu wa agriculture alikamatwa na mke wa mtu naye akapakwa mafuta na kuliwa kinoma yani .......habari zikasambaa kitaa chote hadi skul mwalimu akawa kila akifundisha akigeuka watu minong'ono inazidi basi yy husema najua mnachofikiri ila haikua ivo ............badae alihama skul

Una mambo dada! dah!
 
Back
Top Bottom