Kwa nini wanaume mnapenda kucheza nje ya uwanja (Ndani mnaogopa nini?).

Tabutupu

JF-Expert Member
Nov 26, 2010
13,107
18,323
Mkilazimishwa kuingia ndani mnatamani dunia ipasuke. Acheni futibol kama kucheza ndani hamtaki.

Mgongano wa mawazo.
1.labda ndani nyasi nyingi kunateleza

2.kwa sababu wanawake hamtaki kuolewa.

3.Hivi unajua kuwa faulo zote za nje hazihesabiwi ????. kazi kwenu.

4.Na wanawake hatutaki vilevile kuolewa.

5.Na hata akiolewa, they are too materialistic with experience ya ajabu. Utakuta binti wa 25 yrs ana experience ya kitandani kumzidi mama wa 50 yrs, and if you run a background check utakuta experience yake ni maboy friend wa 45+ yrs wakati wewe uko 30yrs. ktk hali hii rafiki yako akijua yaliyo kukuta, kufikia uamuzi wa kuoa inakuwa shughuli pevu.

6.Ha haaa! Labda niongezee hapo mkuu. Si unajua wanawake bado hawaijui vizuri ile sheria ya offside? Unaweza kucheza inside ukanyoshwa kibendera vile vile. Pia kwenye mechi lazima kuwe na home and away.

3022970-man-playing-football-outside-for-recreation.jpg
.
 
Mafumbo magumu.

Kumbe ni kwanini wanaume hawataki kuoa sikuelewa bana.

Na wanawake hatutaki vilevile kuolewa.
 
Hivi unajua kuwa faulo zote za nje hazihesabiwi ????. kazi kwenu.

Ha haaa! Labda niongezee hapo mkuu. Si unajua wanawake bado hawaijui vizuri ile sheria ya offside? Unaweza kucheza inside ukanyoshwa kibendera vile vile. Pia kwenye mechi lazima kuwe na home and away.
 
Mafumbo magumu.

Kumbe ni kwanini wanaume hawataki kuoa sikuelewa bana.

Na wanawake hatutaki vilevile kuolewa.

hahahahahah, haya makubwa, kumbe na nyie mnazitaka match za nje?? Hakuna refa, ukipigwa kiatu kauguze kwenu, haya yote kwenu ni sawa, mimi nilijua ni ujanja wa wanaume kukwepa majukumu. basi kazi ipo.
 
Ha haaa! Labda niongezee hapo mkuu. Si unajua wanawake bado hawaijui vizuri ile sheria ya offside? Unaweza kucheza inside ukanyoshwa kibendera vile vile. Pia kwenye mechi lazima kuwe na home and away.

hahaha, mzee hakuna refa katika michezo ya namna hii. ulimwona wapi refa. Ukitaka refa kalipe mahali kwao utapata mtu wa kukuuliza vipi mbona hujachomekea.
 
kwa sababu wanawake hamtaki kuolewa.

na hata akiolewa, they are too materialistic with experience ya ajabu. Utakuta binti wa 25 yrs ana experience ya kitandani kumzidi mama wa 50 yrs, and if you run a background check utakuta experience yake ni maboy friend wa 45+ yrs wakati wewe uko 30yrs.

ktk hali hii rafiki yako akijua yaliyo kukuta, kufikia uamuzi wa kuoa inakuwa shughuli pevu.
 
hahahahahah, du mzee umenipa kitu kipya hapa.
 
ha haaa! Labda niongezee hapo mkuu. Si unajua wanawake bado hawaijui vizuri ile sheria ya offside? Unaweza kucheza inside ukanyoshwa kibendera vile vile. Pia kwenye mechi lazima kuwe na home and away.

hahahahahaha, hata ukinyoshewa kibendera katika mchezo usio rasmi, haina madhara. Kazi ipo.
 
Ha haaa! Labda niongezee hapo mkuu. Si unajua wanawake bado hawaijui vizuri ile sheria ya offside? Unaweza kucheza inside ukanyoshwa kibendera vile vile. Pia kwenye mechi lazima kuwe na home and away.

ila kumbuka pia mcheza kwao hutunzwa EMT
 
Back
Top Bottom