Onyo:
BIDADA wale wa" Mkaka gani Unatuletea inshu hizi humu , Hawa ninawaambia, Achen Wivu , sijakutongoza na Sina mwanamke JF na kwakua sitegemei kupata mwanamke humu, Tulia am free ndio maana...
If a woman mistreats her man, it is only because he lets her....YES ITS BECAUSE OF YOU MAN !!.
Mnatia Hasira sana nyie *******, haiwezekani, haiwezekan ... Na ndio Sababu mmekuja na makampeni...
Huyu Jamaa ni Jamaangu , ni Mpiga pombe sana. Sasa ana Mke na watoto.
Mke wake ana rafiki yake ( shosti) kindaki ndaki wa kusindikizana mpaka saluni.
Kumbe jamaa alimzunguka mkewe akawa anakula...
Mnajua Wanawake wanatuhitaji sana sisi wanaume ndicho kitu walichoumbiwa.
Mwanamke inabidi ndio awe mwenye Furaha sana pale unapomwambia Ninakuoa !!.
Et waoo kasema ' ndio' , Kwa lugha nyingine...
Leo navunja utamaduni wangu wa kutojaadili jinsia ya mtu majukwaani.
Nimesoma nyuzi kadhaa za ndugu yetu Mpwayungu Village ambaye hana parody kama walivyomclone GENTAMYCIME GENTAMYCINE bila...
Leo nmeamka na mood ya mapenzi sana.
au ni hali ya khewa hii[emoji12]
Dedication kwa Babe wangu,Baby dady(Meck).
Darassa feat Bien-No body
No body can love you better than i do baby.
Happy holidays people and long time...i missed you
Tukiwa tunaelekea kumalizia mwaka 2024 ni mambo gani umejifunza through out the year?
Binafsi mwaka huu nina mengi ya kusimulia kwa hawa the so...
Wana Jamiiforums
Kuna wakati wakina dada wengi wanapata shida kuolewa kutokana na maeneo wanayotoka, utafiti nilioufanya maeneo niliyoyataja ni nadra sana kupata mke bora ambaye hajashawishika...
Kaka Magical power nina ushuhuda kuogeshana
Umekuwa ukiandika kuhusu kuoga pamoja na mtoto wa mtu. Nilikuwa sipendi kabisa kuoga na mwanamke leo ukawa umeandika tena nikasema nitajaribu ili nione...
85 percent ya Wauza iPhone
Hawawezi kukwambia SIRI hii
Kwanini?
Subiri nikupe Story,
Nina Ndugu yangu
Kila ikitoka iPhone,
New Model, lazima Aidake!
Na anaidaka ikiwa,
Bado haijapoaa!
My...
Wakuu naombeni mnishauri mie mdogo wenu aisee hivi ni sahihi kumuuliza mwanamke kuhusu past yake? Ila sasa baada ya kumuuliza akanijibu fresh tu ya kwamba alipigwa miti sana na mshikaji wake sasa...
• Kiwango ambacho anaweka sheria kwako
• Kiwango ambacho anatamani sana attention yako
• Kiwango ambacho anacho'jitoa katika uhusiano huo
Wanawake hawaweki sheria kwa wanaume ambao wanavutiwa...
Salaam jamiiforum
Wanaume wenzangu hapa Duniani tunapita, hivyo kila kitu kizuri ikiwezekana kifanyike na siyo kujibana saaana jipe Raha tofauti tofauti mara moja moja,
Safiri kwenda sehemu...
Hebu tuambiane jambo/mambo ambayo hayana ulazima kwenye mchakato wa kutongoza.
Jamaa yangu ametengwa na wanaume wenzake hapa mtaani kwa tabia yake mbovu ya kutongoza wake za rafiki zake. Huku...
Baada ya pilika zangu za kutafuta mkate wa kila siku nakutana na rafiki yangu wa kike baada ya kunipigia tuonane.
Nakutana nae na moja kati ya ombi lake ni NDOA anahitaji nimuoe maana amechoka...
Wasalaam wanajukwa..
Ni kipindi kirefu sijajitokeza hapa kuandika kitu chochote kinachohusu mapenzi, uhusiano na urafiki. Sio kwamba nilikuwa siingii na kusoma, la hasha, nilikuwa nikiingia...
Habari wana jukwaa LA mapenzi mubashara,in nature Mimi ni mwanaume mpole sana mwenye aiba na sio muongeaji sana,
Sasa hapa mtaani kuna Demu naona anapata shida sana
1:Akiniona tu ataniangalia...
Wasaalam,
Leo nina kitu ambacho nataka ni share na nyie wiki iliyopita nilikuwa ziarani America ya Kusini nchi za Brazil, Chile na Argentina kuna kitu ambacho nilikishangaa ambacho hakikuwa cha...
Kwa masikitiko makubwa naomba wizara husika iliangalie hili kwa kuwa unatubagua. Hivi nini maana ya mashine? Inamaana ukiwa na kibamia siyo mwanaume. Juzi siku ya idd mosi nilitoka na demu wangu...