Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Im a man of 25,im in udm ist year,the girl must have an age of18-----24 i promise by +255712336687
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Hebu chukulia kwamba, umeolewa na umeishi na mumeo kwa takriban miaka kumi. Siku za karibuni mumeo ameanza tabia chafu ya kutembea na wasichana wa kazi, mpaka ukaamua kutokuwa na wasichana wa kazi...
1 Reactions
26 Replies
3K Views
Ni watu wachache sana ambao hawababaishwi na kuwa au kutokuwa kwao na fedha. Kuna ukweli kwamba fedha huvunja udugu, huharibu uhusiano kati ya watu na kati ya wapenzi. Ni vigumu na hatari...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Hivi kwa mfano una demu wako harafu kila mkiwa nae anamsifia sana rafiki yako yaani sifa ambazo wewe hajawahi kukupa hata siku moja,mf atasema rafiki yako nampenda sana mtaratibu huyo atakaeolewa...
0 Reactions
25 Replies
4K Views
Hey jf natafuta mpenzi mwenye kuhimili hadi mizinga sita hadi saba,kwani huo ndo uwezo wangu na wasichana weng wamekuwa wakinimbia huku mimi nikishndwa kumaliza hisia zangu. Please i want to...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Kama vile hii yawezekana kusaidia kujua mwenzako amekuibia unyumba ama lah kumekuwa na mazoea ya kubadilishana jezi baada ya kumaliza mechi mbalimbali ni wakati umefika basi na nyie mnaowaibia...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Unaamshwa na mkeo asubuhi na mapema kama saa kumi na moja asubuhi, upo fresh akili imesha tulia . Anakwambia kuna deal anaomba umsaidie. Ila upo choka mbaya, hata pesa ya daladala shida, nyumba...
0 Reactions
71 Replies
6K Views
Ukijiamini una kuwa huru kimawazo na kutokuwa tegemezi kusubiri wengine wakupe furaha. (Picha kwa hisani ya dada Y. Mtei Arusha - Tanzania) Ukiwa single unahitaji kujiamini kwani wewe mwenyewe ni...
4 Reactions
8 Replies
2K Views
Wajameni mapenzi magumu tena sanaaa.... The new way of life jus friends with benefits no string attached....
1 Reactions
11 Replies
2K Views
jaman mwenzenu kila nikitongoza nanyimwa mpaka nimechoka kutongoza na mademu wenyewe nawakalia mbali kweli coz najua hata nikikaanao karibu sipati demu..nifanyeje jaman niweze kupata nimpendaye???
0 Reactions
31 Replies
3K Views
i will give the angels back their wings and risk the lost of everthing just to prove my love is true for u just to have a sweethat like u u told me once but i forgot, so tell me now and tel me...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Ndugu wana jf. Mimi nina rafiki yangu wa kike ambaye kimsingi ninampenda sana. Ni mwanamke anayejiheshimu sana japo kwa siku za hivi karibuni amekuwa na mapozi sana. Tangu nimekuwa naye kwenye...
0 Reactions
36 Replies
3K Views
Wakuu natumaini wote muwazima wa afya!!!! Leo naomba wataalam wa mahusiano na saikolojia mnisaidie kuondokana na utata huu! Ni muda sasa nimekuwa nikisikia kuwa Wana ndoa wakiishi pamoja baada...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Je, ni busara na ni salama kiasi gani kwa mume kumshirikisha mke wake KILA siri aijuayo?
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Vijana wana kazi kweli kweli, wacheki hawa>nimewashuhudia pale Rozana wakisubiri usafiri asubuhi. >Me. Mambo >ke. Poa Me. Mzima >Ke. Mzima. >Me. Unaelekea wapi? Na story nyingine za...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
About me: -Christian -Msomi -Najitegemea Mengineyo tutafahamishana zaidi Sifa ninazohitaji kwa Mwenzi wangu: -Awe mtu mzima miaka 35-45 -Christian mwenye hofu ya Mungu -Awe anaishi Dsm -Ameenda...
3 Reactions
72 Replies
7K Views
Mimi ni mke wa mme mmoja,tuna watoto wawili 2yrs na 10moths.Nilishamfumania live kwa small house tena chumbani nikasamehe,alishawahi tengeneza number ya kufanana na yangu akampa small hs...
1 Reactions
89 Replies
8K Views
Nakaa siku zote najiuliza sipati jibu nasijui ninani wakunisaidia kujibu hili nakila mara nikiuliza mara nyingi nimekuwa nikipewa jibu lisilo kidhi mahitaji ya kiu yangu yakutaka kujua !!Thank God...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Ni muda mrefu nimekuwa mwanachama wa CHAPUTA lakini sasa nimeamua kujitoa chamani na kutafuta demu.sifa za ninayemtaka: hata akiwa kicheche sio mbaya ilimradi awe tayar kutulia, awe mweusi...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Hivi inakuwaje mtu anatoa fedha kwa ajili ya msiba katika njia ambayo inaonyesha anataka kila mtu amuone? Kuna njia nyingi zenye kuonyesha kwamba mtu anatoa ili watu wamuone na sio kwa sababu ya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…