Ukiwa single jiamini!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ukiwa single jiamini!!!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Pdidy, Oct 18, 2011.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Oct 18, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,589
  Likes Received: 5,773
  Trophy Points: 280
  Ukijiamini una kuwa huru kimawazo na kutokuwa tegemezi kusubiri wengine wakupe furaha.[​IMG] (Picha kwa hisani ya dada Y. Mtei Arusha - Tanzania)

  Ukiwa single unahitaji kujiamini kwani wewe mwenyewe ni chanzo cha furaha, upendo amani na maamuzi mbali mbali ya kila siku katika maisha yako.
  Lakini linapokuja suala la sex wapo wanaothani kwamba kuwa na mtu ambaye una share naye mapenzi au sex unaweza kupata furaha ya kweli na na wewe kujiona mtu unayejua kutoa upendo kwa wengine.
  Hii hupelekea kuwa tegemezi kimwili, hasa linapokuja suala la hisia zako na matokeo yake unakuwa target rahisi kwa partner asiye sahihi (partner from hell) anayeweza kukuumiza moyo wako.

  Kwa hiyo ufahamu na elimu ya kujiamini ni vitu muhimu sana vinavyoweza kukusaidia usiweze kupata maafa yanayoweza kukuangamiza na kuuumiza moyo wako kuuvunja vipande vipande hasa wakati huu ambapo unatafuta mwenzi wa maisha.

  Kujiamini hujengwa kwa msingi wa mafanikio ya kitu kimoja kwanza.
  Mafanikio huzaa mafanikio na kushindwa kuzaa kushindwa.
  Tunapojifunza kitu kipya kama vile kuendesha gari mara ya kwanza huwa tunakuwa na hofu ya kushindwa na tukishaweza tunaendelea kujiamini na kuweza zaidi na zaidi..
  Mafanikio madogo madogo ni ngazi za kupanda kupelekea mafanikio makubwa.
  Kwa hiyo Kukosa kujiamini (self confidence) kunaweza kukufanya kuwa dhaifu katika hisia zako na maisha yako kwa ujumla.
  Unahitaji kufahamu kwamba hata kama huna mwanaume au mwanamke bado maisha yanaweza kuwa ya furaha na yenye kukupa amani.

  Kutojiamini kunaweza kukufanya upoteze nafasi (opportunities) nyingi katika maisha yako na pia Kukosa uwezo ulionao kujiendeleza na kufanya mambo makubwa katika maisha.

  When you have confidence, you can have a lot of fun.
  And when you have fun, you can do amazing things.

  If you have no confidence in self, you are twice defeated in the race of life.
  With confidence, you have won even before you have started.

   
 2. m

  mzabzab JF-Expert Member

  #2
  Oct 18, 2011
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 6,981
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  mhm hili neno cnfidence naona twitumia sana...sasa lakini jamani tunajua jince hiyo confidence inapatika?
   
 3. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #3
  Oct 18, 2011
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,795
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  Swadakta mkuu.................
   
 4. A

  Ave Ave Maria JF-Expert Member

  #4
  Oct 18, 2011
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 10,757
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 0
  Just uamuzi. believe in you and do appriciate what you are doing!!!
   
 5. CPU

  CPU JF Gold Member

  #5
  Oct 18, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 3,871
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  I see. Habari ndugu
   
 6. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #6
  Oct 18, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,517
  Likes Received: 2,262
  Trophy Points: 280
  asante baba! hiyo ndo missing link. happyness shld come from within oneself. kuna mtu yuko miserable, u scare partners away!
   
 7. Mpatanishi

  Mpatanishi JF-Expert Member

  #7
  Oct 19, 2011
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 1,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  dah mkuu umepotelea wapi ww!
   
 8. the grate

  the grate JF-Expert Member

  #8
  Oct 19, 2011
  Joined: Sep 24, 2011
  Messages: 205
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sawa mukubwa nakupa salut kwa hili darasa
   
 9. F

  Ford89 Senior Member

  #9
  Oct 20, 2011
  Joined: Jul 31, 2011
  Messages: 145
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Upo sawa kaka, idea zako zinafanana na za wale jamaa wa jitambue
   
Loading...