Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

hey what will you do to make the one you love to love you back??
1 Reactions
16 Replies
1K Views
una mke na watoto pia una kazi nzuri kwa nini hutaki kuwatunza???? samaki samaki kila siku lazima upitie kula bata pale mkeo akiomba hela ya matumizi unagoma akili matope!wanaume kwa sasa...
2 Reactions
21 Replies
3K Views
ndugu wana JF,NILIKUWA NA MPENZI WANGU, BAADA YA KUWA NAYE KWA MUDA KAMA WA MIEZI 3 HIVI, nilianza kumuona kama wa kawaida tu na hakuna tofauti ya kuwa naye au kutokuwa naye, nikaamua kuwa...
2 Reactions
54 Replies
5K Views
Ndani ya nafsi yako unadhani wewe ni wewe kumbe behind your back kuna watalamu zaidi wewe ,siku uliyombaini na kumfesi anakueleza kinaga ubaga anayonifanyia mwenzio wewe hujawahi kunifanyia...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nakumbuka nilipokuwa mdogo levo za primary hadi form one.Nilikuwa mtundu sana hadi kupelekea kuwa nachapwa mara kwa mara na mama ili nibadilike.Namshukuru MUNGU nilibadilika baada ya kuchapwa...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Kwa kweli humu ndani kuna watu wanatoa ushauri! yani unapata wenye busara, unaokupa solution, unaokufurahisha. kukuongezea siku na kuyaona maisha kivingine kabisa n.k n.k-yet for free(unalipia...
3 Reactions
13 Replies
1K Views
hivi jamani kwa mfano mume ameacha cm yakei mean ameisahau akaenda kwenye mizunguko yake Halafu mke akawa anapokea cm zake akitoa tarifa mwenyewe hayupo kuna ubaya gani?please naombeni mawazo yenu
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Mupenzi wa moyo, Bint Mrembo na Maridadi, na mwenye mapenzi ya Dhati Anahitajika, Elimu isiwe chini ya kidato cha nne, Awe mkazi wa DSM. Napatikana kwa Email ifuatayo, Confidencial_06@yahoo.com...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Top 5 things that drive women crazy How many times have you heard a woman say, “Can’t live with ‘em, can’t live without ‘em!” when it comes to men? Ten? Twenty? A thousand times? No matter...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kiukweli kupokewa zawadi, vitu vya thamani, mshahara mkubwa, faida kubwa na most of all great attention and love..toka kwa watu ni kuzuri asikuambie mtu! Dunia imeshuhudia baadhi ya watu ambao...
3 Reactions
6 Replies
1K Views
Kama inavyosomeka ndivyo ilivyo. Awe mtu mzima kuanzia miaka 30 hadi 45. Kama vipi nipe majibu kwa private message.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Its Obvious and Abumndantly now days to here wife and lovers are in great faults.And when the suspect is in sense one lover could revolts that,Especially for Women,they say im not satsfied with...
0 Reactions
17 Replies
1K Views
Ni saa kumi na mbili jioni natoka kazini, nampita demu wangu ili nimpeleke kwake na mimi nirudi zangu kwangu. Mara ananiambia nimpitishe mahala kuna club fulani karibu na kwake akachukue mzigo...
2 Reactions
121 Replies
12K Views
Wajameni nimemfumania dem wa jamaa yangu leo mapema yupo na njemba gest ambayo nami nilikua navinjari manzi flan wa kitaa. Ni bahati mbaya kwa huyo dem manake hakua anajua kama nami ningekua pale...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Kwa mfano mme/Boyfriend kaondoka labda siku iliyopita mchana na karudi nyumbani kesho yake asubuhi Au kaingia nyumbani saa saa tisa ,kumi au kumi na moja ..imezidi kaingia asubuhi kweupe? Na hii...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Haijalishi uliikimbia, mliishia kutoa ama mlilea. Siku mwenzio alipokwambia "Nna mimba". . . "Nahisi/nadhani nna mimba!" ulijisikiaje? Na wewe mdada/mama ulipogundua/hisi una mimba...
2 Reactions
123 Replies
10K Views
Kumbe comma nazo zinaongea.....!!!2
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Mimi ni mvulana wa miaka kati ya 25-28.natafuta msichana wa kuchati naye sms za kimapenzi kwa kuanzia. Awe na umri kati ya miaka 18-30. Awe wa dini yeyote. Aliye tayari tuwasiliane kwa...
0 Reactions
18 Replies
14K Views
Want to improve your love life, but don't know who to turn for advice? Here's our step-by-step guide for getting honest feedback from those who know you better than anyone else… your friends...
0 Reactions
0 Replies
750 Views
Ni zaidi ya miezi mitano inakatika sasa, nipo na dada mmoja kimahusiano.sio siri ananichosha kwenye mambo yetu yale ni noma.nikiwa nae tunaenda tano kwa muda mchache yani nakua hoi hadi kufika...
0 Reactions
36 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…