PetCash
JF-Expert Member
- Mar 20, 2012
- 1,997
- 1,999
Kwa kweli humu ndani kuna watu wanatoa ushauri! yani unapata wenye busara, unaokupa solution, unaokufurahisha. kukuongezea siku na kuyaona maisha kivingine kabisa n.k n.k-yet for free(unalipia gharama ya intenet tu)....
Lakini? Hebu tujitazame wenyewe(mi nimejianalyse nikaona mimi niko selfish kwa hiyo naandaa mpango wa kujirekebisha). Hivi mtu ana likes received 99,999 halafu ukiangalia likes give 3!
Hivi wewe katika comments na post walizofanya wenzio wewe umeona 3 tu ndo nzuri?
(Sasa si ndo yale yale kwenye mahusiano mtu hata umfanyie kipi, ni mgumu wa ku-appreciate!) Na hii ndio inasababisha watu kuhamahama kwenye mahusiano na mwisho wa siku wanasema wanaume/wanawake wote wabaya!(wanasahau kwamba ukivaa miwani ya green kila kitu kinakaa ki-green green )
....Ntarudi baadaye jiangalie na ukiri zambi zako hapo hapo chini ili usaidiwe kabla hujaondoka ukajifanya kusahau !