Mwanamke anapomwambia Mume anavyonifanyia Mwenzio wewe hujawahi kunifanyia | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwanamke anapomwambia Mume anavyonifanyia Mwenzio wewe hujawahi kunifanyia

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Babylon, Apr 2, 2012.

 1. Babylon

  Babylon JF-Expert Member

  #1
  Apr 2, 2012
  Joined: Feb 5, 2009
  Messages: 1,341
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  Ndani ya nafsi yako unadhani wewe ni wewe kumbe behind your back kuna watalamu zaidi wewe ,siku uliyombaini na kumfesi anakueleza kinaga ubaga anayonifanyia mwenzio wewe hujawahi kunifanyia (Overlook)

  mzigo wa mwenzio kwako ni kanda la usufi.
   
 2. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #2
  Apr 2, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 29,282
  Likes Received: 4,253
  Trophy Points: 280
  kakupa feedback, tatizo ni nini?
   
 3. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #3
  Apr 2, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,581
  Likes Received: 743
  Trophy Points: 280
  Inahusu ukweli ingawa mchungu; ndio maana si vyema kuzungumzia past relationships!
   
 4. N

  Ngekewa JF-Expert Member

  #4
  Apr 2, 2012
  Joined: Jul 8, 2008
  Messages: 7,730
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  One way ticket! Hii si match! anachie aende daraja la juu!
   
 5. F

  Foundation JF-Expert Member

  #5
  Apr 2, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 1,412
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  Ukiona kasema hivyo ujue kakuchoka.
   
Loading...