Manzi yangu anapenda mjengo mbaya,

nanchi

Member
Jan 29, 2012
66
7
Ni zaidi ya miezi mitano inakatika sasa, nipo na dada mmoja kimahusiano.sio siri ananichosha kwenye mambo yetu yale ni noma.nikiwa nae tunaenda tano kwa muda mchache yani nakua hoi hadi kufika mwisho wa mchezo,imefikia sasa nikilala nae usiku mmoja naenda adi nahisi natoa hewa.nikikataa ni ugomvi mpaka anafikia kulia na kudai namnyanyasa kimapenzi.

ile mwanzo nilifikiri kwa sababu tunaanza ndio maana ila sasa inakua 2 much,sifurahii kukaa nae zaidi ya masaa 2,natafuta hata sababu ya kikao na washkaji ili hali tu nimkimbie nae arudi hm kwao,

ila nampenda kwani nae pia anamapenz ya kweli kwa kumuangalia nyendo zake,na vl vl ni miongoni mwa mipango yangu ya baadae,yani nategemea kuishi nae.

Najiuliza tukifunga ndoa itakuaje?hebu nisaidieni mbinu washkaji,wakinadada ili nisimpoteze huyu kimwana.
 
Mambo mengine wala sio yaku hadithia hasaa ukiwa mwanamme, yani mwanamke anakushindaje mbinu kwenye mapenzi? Ebu jaribu kumchosha kwanza kwa matayarisho ili hata ikifika mda wa mechi hutompata tabu yakuzitafuta hizo bao5, mazowezi muhimu.....
 
najiamini kwa matayarisho nimejaribu kucheza nae na amekua akifika kileleni hata mara mbili, kwa saa zaid ya moja na nusu ili nimchoshe, kabla ya kukwea mnazi bado nikachemka.
 
Hapo unamkimbia.......sasa ukimuoa sijui utahama nyumba?????

Joke; Itabidi uanzishe chama cha kusaidiana majukumu ya kindoa
 
najiamini kwa matayarisho nimejaribu kucheza nae na amekua akifika kileleni hata mara mbili, kwa saa zaid ya moja na nusu ili nimchoshe, kabla ya kukwea mnazi bado nikachemka.

Nut and spanner goes with size.................... kusoma hujui na picha je?????
 
najiamini kwa matayarisho nimejaribu kucheza nae na amekua akifika kileleni hata mara mbili, kwa saa zaid ya moja na nusu ili nimchoshe, kabla ya kukwea mnazi bado nikachemka.

saaa moja na wewe unajisifu umemwandaa??
siku nzima mkuu mwandae kisaikologia kuanzia kimaneno, mkuu huenda huwa unambaka na sikuambie mtu kupiga mabao unaweza kupiga hata 100 but kumbuka unajiua mwenyewe bwana, jaribu kumuandaa vyema!
 
Bao tano zote ni za nini? Ukiona unapiga bao tano ujue kuna sehemu unafanya ndivyo sivyo katika zoezi zima la kuridhishana! Ni mtizamo wangu tu.
 
saaa moja na wewe unajisifu umemwandaa??
siku nzima mkuu mwandae kisaikologia kuanzia kimaneno, mkuu huenda huwa unambaka na sikuambie mtu kupiga mabao unaweza kupiga hata 100 but kumbuka unajiua mwenyewe bwana, jaribu kumuandaa vyema!

nitalifanyia kazi wazo lako kamanda.
 
foreplay kwa sana, ingia uvinza hakikisha hutoki mpaka kapiga tatu za dabodabo............ Msome ujue wapi ukimshika anadata.......

Mwisho check your diet....
 
Ukweli unao wewe mwenyewe usijipe promo wakti wewe ni one minute man,ndio mara ya kwanza naona m/me anakataa mbunye na mara ya kwanza naona demu analazimishwa awe anapewa muhogo wa jang'ombe mara kwa mara,kijana usijisikie aibu kusema ukweli,kwa mujibu ya maelezo yako wewe ni one minute so unaitaji mbinu za kufanya hili uondokane na swala hilo sema umelileta humu kivingine,kama haumuwezi nisukumie mimi sitompiga bao 5 nitampa mbili tu zitamtosha!
 
We mbili zote za nini? Kimoja yenye tano ndani.
 
Ukweli unao wewe mwenyewe usijipe promo wakti wewe ni one minute man,ndio mara ya kwanza naona m/me anakataa mbunye na mara ya kwanza naona demu analazimishwa awe anapewa muhogo wa jang'ombe mara kwa mara,kijana usijisikie aibu kusema ukweli,kwa mujibu ya maelezo yako wewe ni one minute so unaitaji mbinu za kufanya hili uondokane na swala hilo sema umelileta humu kivingine,kama haumuwezi nisukumie mimi sitompiga bao 5 nitampa mbili tu zitamtosha!

mkuu umenifurahisha,bao mbili atulie!we unataka vita ya kimbunga,mi namchapa nao mbaya.nimemfanyia mazoezi ya kila aina naona kushindwa kunakaribia.
 
nitalifanyia kazi wazo lako kamanda.
Bao tano, kila moja unachua dakika ngapi? Kama kila moja ni dakika 2 basi ujue wewe ndio mwenye tatizo. Jaribu kukomaa atleast dakika 5 per goal. (Atleast 5 dk.)
 
najiamini kwa matayarisho nimejaribu kucheza nae na amekua akifika kileleni hata mara mbili, kwa saa zaid ya moja na nusu ili nimchoshe, kabla ya kukwea mnazi bado nikachemka.

mmmmh!!Asabaya amekushauri vizuri sana na hata mm naona hiyo mbinu ya kufanya maandalizi muda mrefu umchoshe ndio nzuri sasa kama hata hivyo pia anakuwa ngangari basi ni jini huyo!!
 
dah...hebu nifanyie mpango wa namba ya hyo demu nataka nimpe pongez hpa home...nikisha muonja ntaweza kukupa ushaur mzur zaidi..
 
kinana umepata a nymphomaniac....ahaha kazi kwako itabisdi ufanye mazoezi ya ziada.
 
Back
Top Bottom