Nilimuona wa kawaida nikaja gundua....

Lord K

JF-Expert Member
Feb 17, 2012
213
37
ndugu wana JF,NILIKUWA NA MPENZI WANGU, BAADA YA KUWA NAYE KWA MUDA KAMA WA MIEZI 3 HIVI, nilianza kumuona kama wa kawaida tu na hakuna tofauti ya kuwa naye au kutokuwa naye, nikaamua kuwa kivyangu na kukaa kimya japo alitaka nimjulishe nini kimenipata lakini nikadharau, sasa nimegundua kuwa kumbe alikuwa muhimu kwangu kuliko nilivyodhani. Namuomba turudishe penzi letu lakini ananiambia ananiogopa sababu mi ni katili na hataki kulia tena kama awali.

I AM CONFUSED!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
mambo ya kawaida haya kwenye mapenzi,kama anajitia mgumu na wewe uchune,kuna siku atakutafuta,wanawake ndo walivyo.
 
umeona eeh, cajab kaonja kwngn huko kaona hapafai ndo anajrudsha na kuujua umuhim wake
Hivi mimi ushanifanyia vituko mbele ya kadamnasi, umeniadhiri mbele ya walimwengu. Kesho unataka turudiane ni lazima nifikiri mara kumi zaidi.
Mleta mada kuna kikubwa kibaya alichomfanyia binti wa watu!

haswaaaaaa, hapo ndo afunguke sasa 2jue twampa ushaur gan
 
mambo ya kawaida haya kwenye mapenzi,kama anajitia mgumu na wewe uchune,kuna siku atakutafuta,wanawake ndo walivyo.

wew ni bshanga bashaija o bishanga bakazi?,. mana mweh ckutegemea umwone huyu jamaa yuko sahih
 
yupo sahihi, ulimwona useless sasa unamwona wa maana? kweli we ni katili, mwanamke yeyote mwenye akili hawezi kukubali ucheze ne feelings hizo lol bora ile kwako, next time jifunze dont take womes for granted
 
daaa umenikumbusha jamaa yangu bwana,
Anakauli ya ukali sana hajui kuongea kwa kubembeleze, alipokuwa na mpenzi wake alikuja kuomba ushauri, aliniambia jamaa ni mkali, Nilimwambia jamaa si mkali ila hajui kuongea kwa kubembeleza, possible na wewe upo kundi moja mkuu mwanamke anapenda kubembelezwa bwana!
 
Majitu kama nyie ndo mnafanya mademu watuone wanaume wote makatili!sa ulimtongoza wa nin ka ulijua ni wa kawaida tu?
 
ndugu wana JF,NILIKUWA NA MPENZI WANGU, BAADA YA KUWA NAYE KWA MUDA KAMA WA MIEZI 3 HIVI, nilianza kumuona kama wa kawaida tu na hakuna tofauti ya kuwa naye au kutokuwa naye, nikaamua kuwa kivyangu na kukaa kimya japo alitaka nimjulishe nini kimenipata lakini nikadharau, sasa nimegundua kuwa kumbe alikuwa muhimu kwangu kuliko nilivyodhani. Namuomba turudishe penzi letu lakini ananiambia ananiogopa sababu mi ni katili na hataki kulia tena kama awali.

I AM CONFUSED!!!!!!!!!!!!!!!!!

remain confused....
 
Mimi nina mtazamo tofauti kidogo.

Wanaume wangekuwa wanajiexpress feelings zao kwa wapenzi wao kama wafanyavyo hapa jamvini baada ya kuachwa; ndoa/mahusiano mengi yangedumu.

Sijui ni woga wa kuwa taken for granted; lkn mwisho wa siku mwanamke anaingia mitini nawe unakosa penzi tamu kisa kujifanya hujapenda!
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom