That Happiness you seek... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

That Happiness you seek...

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by PetCash, Apr 1, 2012.

 1. PetCash

  PetCash JF-Expert Member

  #1
  Apr 1, 2012
  Joined: Mar 20, 2012
  Messages: 1,679
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Kiukweli kupokewa zawadi, vitu vya thamani, mshahara mkubwa, faida kubwa na most of all great attention and love..toka kwa watu ni kuzuri asikuambie mtu! Dunia imeshuhudia baadhi ya watu ambao wamefanikiwa kupata vyote hivyo kwa wingi sana...ila cha ajabu wengi kati yao wameonekana kutokuwa na furaha halisi ndani yao kiasi cha wengine kujaribu kujiua...ITS BECAUSE WE ARE SEEKING HAPPINESS IN WRONG PLACES. Kiukweli Mungu ameweka furaha kwenye hayo mambo lakini furaha kubwa kabisa kaiweka kwenye kutoa (It is more blessed to give than to receive acts 20:35)...watu wengi wanaojitoa kusaidia wengine utawaona walivyo na maisha mazuri!(not giving what you don't need although that is also good)..hebu msaidie mtu kitu ambacho kitakucost kiukweli kisha uone jinsi utakavyojisikia..have you ever fed a realy hungry kid with your own lunch money and sit back to let that warm feeling hit you... Nakuambia ukitoka hapo utajua jinsi ya kutunza mahusiano yako na spouse wako, jirani yako ana ndugu yako au yeyote mwingine(ambayo ili kuwa na uwezo huo inabidi uwe lifetime member wa jamii forums na usome vitabu 10 vya mahusiano)...Happy blue Monday(so they call it-though its never bluer than any other day)....
   
 2. Mwali

  Mwali JF-Expert Member

  #2
  Apr 2, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 7,032
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Kweli kabisa. Ukitoa kuna kua na ile feeling ya kua useful to somebody ambayo ni rewarding.
  Ila kumbuka, ukimpa huyo mtu kitu chochote, na yeye pia anakua mwenye furaha.
  So hata wewe ulie toa, geukia maisha yako na count your blessing, be aware of what you receive
  na utajazwa na furaha pia. Usihesabu tu, bali tafakari na tekeleza maana ya kua na vitu hivyo
  Afya, ndugu na marafiki, physical ability, mental ability, macho ya kusoma hii post
  Na ukisha tekeleza kua una bahati ya kua navyo, furahia kua navyo. enjoy that feeling
  It contains the potential to unleash happiness within you. Happiness is within us, not outside.
   
 3. HOPECOMFORT

  HOPECOMFORT JF-Expert Member

  #3
  Apr 2, 2012
  Joined: Feb 25, 2012
  Messages: 2,784
  Likes Received: 3,519
  Trophy Points: 280
  Binafsi naamini zaidi kutoa kuliko kupokea.Napata shida sana kumuona mtu mwenye uitaji kama wenzetu walemavu wanao omba omba kwenye makorido ya miji yetu
   
 4. c

  charndams JF-Expert Member

  #4
  Apr 2, 2012
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 437
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  and that is the gospel according to pastor petcash-Amen
   
 5. HorsePower

  HorsePower JF-Expert Member

  #5
  Apr 2, 2012
  Joined: Aug 22, 2008
  Messages: 3,617
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  Thanx. Nice Message.
   
 6. Purple

  Purple JF-Expert Member

  #6
  Apr 2, 2012
  Joined: Feb 9, 2012
  Messages: 2,031
  Likes Received: 228
  Trophy Points: 160
  Its very true,kutoa kunatuongezea baraka maradufu hence real hapiness! Thank u for reminding us..
   
 7. zimwimtu

  zimwimtu JF-Expert Member

  #7
  Apr 2, 2012
  Joined: Mar 7, 2012
  Messages: 1,889
  Likes Received: 621
  Trophy Points: 280
  ALIYEUMIA ZAIDI NDO KATOA ZAID. nadhani unakumbuka ile story ya mwanamke mjaane alivoweka senti yake ya mwisho kwenye kapu la sadaka. she was rewarded kuliko waliotoa mifuko ya pesa. coz they gave out what was in excess. ujumbe mzuri sana hasa katika kipind hiki cha kwaresma ( kwa wakristu).
   
Loading...